Wakuu leo nataka kujua wasichana wa kishua na wa uswazi wapi ni wako vizuri katika maeneo haya
1) wapi wanajua kulienzi penzi kati ya wanawake wa ushuani na wanawake wa uswahilini
2)mademu wa...
Jamani eeh ,,,nimepiga chabo semester nzima na nimehudhuria vipindi vichache sana na kusoma kwangu naona uvivu sana
Pepa zote nimefaulu kwa chabo kwa kuigilizia kwa wenzangu au kuingia na simu...
Msaada wakuu ,nimekuwa nikijiskia katili sana nikila nyama hasa za kuku najiskia vibaya sana naona mpaka huruma kumkatishia uhai wake kiumbe mwenzangu .
Hali imekuwa mbaya zaidi siku hizi hata...
Leo nimemuota sky eclat ila ubaya sikumbuki lolote la maana nililomuotea ila
Natamani ile ndoto irudi tena maana nakumbuka kuna kipande kama nilikuwa nafanya naye mapenzi vile.
Ile kuamka...
Yani ukiwa upo mgahawani/hotelini afu ukawa unakata matonge ya haja ukidhani hakuna anayekuona
Utashangaa ile unamaliza tonge la mwisho muhudumu wa kufuta meza huyu hapa kashakufikia kaja...
Mi kila nikiingia humu naanzaga na jukwaa la nafasi za kazi ili nione kama nitabahatika kupata kazi
Halafu naenda jukwaa la matangazo madogo madogo ili nione vitu vinavyopigwa mnada ninunue kwa...
Amani ya bwana iwe nanyi.
Wakuu nataka tuchague nani ni mwana jamii forum bora kwa kila jukwaa kwa mwaka huu 2017/2018
1)Jukwaa la chit chat
Nampendekeza HR 666
2)Jukwaa la mahusiano...
Habari za Jioni Wakuu...! Poleni na Harakati za kutafuta ridhiki niende moja kwa moja kwenye mada husika
Mimi nilikuwa na shemeji yanu tulikuwa tumezoeana ile mbaya Yani ikafikia wakati Mpaka...
Hakuna raha kama kukosa siti kwenye gari alafu ubanane na dada mkali aliejaaliwa mzigo unaotingishika mana wanatusogezea makusudi huku wanajifanya wanaminya simu sasa na sisi tumeamua kufanya...
Tukio hili ndo lilinifanya nisiende kanisani toka mwaka 2003.
Ni hivi siku hiyo nilichelewa kanisani so nikapata nafasi kwenye siti za nyuma..
Wakati misa inaendelea ghafla nikasikia harufu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.