Hivi, na nyie hii ishawahi kuwatokea?
Rafiki anakujia na shida zake.
Anaomba umkopeshe hela. Unamkopesha.
Bila kujua, mwisho wa siku unaishia kupoteza vyote!
Unapoteza rafiki na hela zako...
Ligi kuu nchini Uingereza inaanza ijumaa, nimeangalia kwenye livescore table nimekuta timu ya Asenal wapo kileleni, hii ni faraja kwa wapenZi wa timu hiyo
Maana mara ya mwisho kukaa katika nafasi...
Wana jumuiya wenzangu amani iwe kwenu.
Leo ni sikukuuu ya Nanenane… tunaendelea mdogo mdogo hapa Arusha . Tunang'ata kidogo kidogo na tupo na watoto wakaliiii balaa!
Hivi siku nzuri za kunywa...
Wakuu hii ishu mnaishughulikia vip? unakofolea tu macho makalio na kupata burudani? unajivunga na simu na kuangalia pembeni? vipi ukiwa na wife, unahandle vipi hii situation.
Leo nimekaa nikawa nakumbuka baadhi ya wadada kadhaa niliowahi kuwa nao na hapo ndipo nikamkumbuka binti mmoja wa kichaga tulikutana chuoni Sauti Mwanza.
Alinisumbua kidogo kumwingiza box ila...
jaman Ndoto ni kitu ambacho toka nizaliwe hadi hapa nilipo naota mambo tofauti2, sasa nashangaa wale wanaofuatilia walichokiota, sijui watafuatilia ndoto ngapi, anyway tushare hapa ndoto nzuuri au...
USHAMBA WA MSUKUMA UKO WAPI?
Ninavyomfahamu
1.Hapendi makuu,ukimchokoza anasema KAYA YA NG'WOBA NAYO KAYA ili siku ipite salama.
2.Hapendi kesi,ukimdhurumu anasema MAGUZU MASESE ili asipoteze...
Natafakari hichi kizazi kikiisha nini kitaendelea? maana vijana wa kuanzia 1991 mpaka sasa akili yao wanajua wenyewe
1975-1990 Ndio kizazi cha manufaa maendeleo Tanzania ndio kizazi...
Hawa hata wakikohoa tu wanakohoa asali na maziwa ni wazuri ,wananukia ,wanapendeza wanaongoza kwa kutumiwa pm kuliko wanawake wengine wote jf,wanapenda kufatiliwa zaidi kuliko wote humu,hata...
Kuna mambo huwa tunajikuta tunayajua tu bila kufundishwa na mtu au bila kuyaona sehemu yoyote..., mfano
Kufanya mapenzi,sidhani kama kuna mtu alifundishwa hili,achana na yale maujuzi tunayokuja...
Hili swali nashindwaga kujijibu
Hivi kwanini wabongo kuna wengi sana ni wanafiki wakiwa nyusoni mwa watu lakini kwenye mioyo yao ni tofauti??
Huu unafiki wa sitaki( akiwa public na akiongea na...
Nimejifanya fundi mweeee,,,nimekumbuka kipindi kile nipo mtoto najichora hina leo ndio kazi nimefanya hii kuchora majongoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenye kujua kuchora...
Kwakweli nachukia hii tabia ya Kaka zetu Jf kumuita mwanamke "Mkuu" kwenye haya majukwaa, tutafutien jina lingine jamani, kama tuko jeshini.
Wengine mtu mpaka anakutongoza pm anaweka swaga za...