Mnalalamika sana humu majukwaani kua tunafunga PM au mkija hatuwajibu,ndiyo wengine wamefunga PM wengine mkija hatuwajibu kwa sababu kuu zifuatazo;
Kabla ya kutoa sababu mods huku ni chitchat...
WATUMISHI WENGI TANZANIA WANATARAJIA KUPANDA MADARAJA KATI YA MWEZI AGOSTI NA SEPTEMBA 2018 BAADA YA KUSUBIRIA SIKU NYINGI.
Baada ya ufuatiliaji wa kina imegundulika kuwa watumishi wengi...
Huu ni uzi maalumu wa kuorodhesha id za wana jf ambao wapo single.
Lengo ni kuwasaidia vijana wasitamani au kusumbua sumbua wake / waume za watu waliopo humu jf.
Pia ni kuwasaidia wale...
Kwa nini mwanamke akifiwa mume na akaachiwa biashara au miradi mikubwa kwa nini miradi hufa mapema na kama mwanamke amejitahidi sana kusimamia hata miaka 5 haifiki
Na yawezekana mwanamke alikuwa...
Habari za majukumu wakuu...
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu..
Nimeamua kuacha kuitumia fb kwa sababu zifutazo...
[emoji117]Inanishawishi kupiga punyeto
Nasema hivi kwakua nadate...
Napenda kuwajulia hali nyote mlio online na mkawa mmkosa usingizi kama mimi, hii Tz ni kubwa mno! je, waweza amini nilipo mimi siku zote hakuna hata mbu mmoja!?huku kwetu ukimuona kiumbe huyo ni...
Kweli tembea uyaone !
Siwezi kudanganya mimi The only ni mwana muungwana ,kwa macho yangu Nilienda hivi karibuni Mkoani Kigoma sasa kazi iliyonipeleka ikawa kuna wakongo nawasubiri niwaunge...
Kuna wanaume anapokuwa anakuaproach utadhani anayoyasema ni ya kweli
Juzi moja nikakutana na mkaka , kama kawaida akaanza swaga nikamwambia nipe muda kidogo nichanganue maneno yako
Leo nikawa...
WATUMISHI WENGI TANZANIA WANATARAJIA KUPANDA MADARAJA KATI YA MWEZI AGOSTI NA SEPTEMBA 2018 BAADA YA KUSUBIRIA SIKU NYINGI.
BAADA YA UFUATILIAJI WA KINA IMEGUNDULIKA KUWA WATUMISHI WENGI...
Long live bro i real appreciate you and you have been my roll model than ever before
Ndg tuendelee kumuwish mchizi na rafiki yngu Wa maana ishi miaka hyoooooo
Mambo ni hivi tu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Niko boadi(bored) usiku hapa na nimekosa pa kwenda hivyo nahitaji jinsia tanjwa hapo juu japo uje PM tubadilishane mawazo.
Sichagui umri wala kabila na ikitokea labda unaishi mwanza au unakaribia...
WATUMISHI WENGI TANZANIA WANATARAJIA KUPANDA MADARAJA KATI YA MWEZI AGOSTI NA SEPTEMBA 2018 BAADA YA KUSUBIRIA SIKU NYINGI.
BAADA YA UFUATILIAJI WA KINA IMEGUNDULIKA KUWA WATUMISHI WENGI...
Yaani maongezi huwa ya tofauti sana:
#Tajiri kwa tajiri utasikia..
'Hapa kuna view nzuri sana'
#Masikini kwa masikini.
Utasikia..
Oi,"Ukipewa milioni 10 uruke hadi chini utaruka?
Natumai jumapili ya leo iko njema sana
Kwenu wakubwa kwa,wadogo.
Haya kinadada hebu tiririken hapa
N matumiz gan unayajutia uliwah
Kumhudumia mwanaume wako
Leo ukikumbuka huamin kama n ww...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.