JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nianze mimi mwenyewe Siku ya kwanza nimeingia kwenye kituo cha mwendokasi aisee sitokaa niisahau. Baada ya kupewa tiketi kwenye kuiscan ile tiketi palinitoa jasho. Akanisaidia dada mmoja mrembo...
9 Reactions
87 Replies
8K Views
Teacher:kila mwanafunzi hebu jaribu kufikikiria upo msituni halafu ukakutana na simba na hauna silaha yoyote,utafanya nini ili kujiokoa? dogo:mwalimu,ili nisiliwe na simba basi nitaacha kufikiria...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Ikiwa yapata nusu saa tokea kupaa kwake ndege moja iliyobeba abiria zaidi ya 200 ..ikasikika sauti tokea kwa rubani ikisema "injini moja haifanyi kazi na iliyobaki haina nguvu kabisa ni wakati wa...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Mambo vipi wadau,kichwa kinajieleza,mimi ni kijana mdogo tu nahitaji marafiki vijana kwaajili ya kubadilishana mawazo(hususani wasichana sio wanawake) na ni kiurafiki tuu kwaajili ya kubadilishana...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naaaaaaam Like ya ndugu yetu Max Melo imekua adimu sana kupatikana hapa jamvini. Binafsi mm nilishaipata moja kwa tabu sana. Sasa huu ni uzi maalumu wa kumfanya yeye mwenyewe akupe like...
2 Reactions
14 Replies
912 Views
Naaaaaaam Like ya ndugu yetu Max Melo imekua adimu sana kupatikana hapa jamvini. Binafsi mm nilishaipata moja kwa tabu sana. Sasa huu ni uzi maalumu wa kumfanya yeye mwenyewe akupe like...
1 Reactions
2 Replies
479 Views
Naaaaaaam Like ya ndugu yetu Max Melo imekua adimu sana kupatikana hapa jamvini. Binafsi mm nilishaipata moja kwa tabu sana. Sasa huu ni uzi maalumu wa kumfanya yeye mwenyewe akupe like...
0 Reactions
1 Replies
313 Views
Naaaaaaam Like ya ndugu yetu Max Melo imekua adimu sana kupatikana hapa jamvini. Binafsi mm nilishaipata moja kwa tabu sana. Sasa huu ni uzi maalumu wa kumfanya yeye mwenyewe akupe like...
0 Reactions
0 Replies
347 Views
ITV kwa sasa taarifa ya habari ya saa 2 Watangazaji wanasoma muhtasari wa habari then wanazunguka nyuma kwenda kukaa katika viti na kuendelea na habari. Utaratibu huu nimeupenda sana hasa siku...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji85] [emoji87]
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Dear kipenzi changu siku zimefika, miaka …… umetimiza katika hii dunia. Hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia, anayenipenda, anayeniheshimu, anayenithamini Hongera sana kwa wako wazazi kwa...
24 Reactions
280 Replies
11K Views
1 Pesa 2 Elimu 3 Cheo 4 Usafi
4 Reactions
102 Replies
11K Views
*Ujasiri ni nini?* *Ujasiri ni kupewa na baba yako elfu kumi alafu uikague mbele yake kama ni feki* [emoji23][emoji23]🤣🤣🤣
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Baunsa mmoja alikuwa kapumzika sehemu sehemu anakula upepo na ghafla dogo mmoja akamfuata. Huku akionyesha kujiamini yule dogo akamvagaa yule baunsa! DOGO: Oyaa bro saa ngapi? BAUNSA:Hebu ondoka...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa wale wapenz wa movies..funguka jina la movie unayoipenda .... Ukishindwa ya TZ taja za mbele bac Kama mm naikubal DEADPOOL Za kibongo tukiachana na za kanumba aisee...bado cjaona , (au...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
[emoji121] Wash'kaji eeeeeeeh!!! Huku kitaa cha mivumoni_centre Ukiachana na hii njia ya 1 kwa 1 ya kuelekea madale, Kutokea tegeta_nyuki, Upande wa kushoto Kama waelekea mtaa mmoja wa kuitwa kwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
WASH'KAJI EEEEEEEH! TUSIKILIZANE KIDOGO. KUTOKANA NA PILIKA ZA MAISHA HAPA MJINI, NIMELAZIMIKA KUHAMIA HUKU PANDE ZA GOBA_JUU, HAPA KWENYE MABANDA YA MKAA, KARIBU NA MNARA WA AIRTEL, UKIINGILIA...
14 Reactions
187 Replies
15K Views
Habari ya jumapili wapendwa. Ni miezi 10 sasa toka nijiunge hapa,kiukweli ninamengi nimejifunza,na bado naendelea kujifunza, ahsante marafiki niliowapata hapa,wakike pia hata wa kiume. Wengi...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Miongoni mwa watu ambao wanaongoza kwa Chai hapa JF basi Mshana na Gudume ni Kiboko hebu nisaidie memba wengine wana chai safi niwatafute Kidogo maana kwangu huu ndo uwanja wa kuondoa Msongo wa...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Sijui kwanini wanawake wagumu sana kuelewa. Mke wangu aliondoka nyumbani na kumwacha mtoto wetu wa kiume wa miezi 6 akilia mnooo. Dada Wa kazi akambembeleza weeee hakunyamaza. Akamwimbia...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom