JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hii mada ni kwaajili yetu wanaume tu sasa mdada ukija hapa usije lalamika kwasababu nimeshatoa angalizo. Wakuu kuna kitu kidogo hapa nimeona niwadokeze kwa ufupi. Kutokana na...
4 Reactions
138 Replies
8K Views
Ama ni dhahabu nimeiokota kwenye kokoto nyingi sana,ila usijezidisha mahaba nikapagawa nikawa mwehu wa mapenzi,nipe kidogo nisijekutafuna mpaka mifupa,wajua toka nimekuwa nawe damu yangu...
7 Reactions
287 Replies
12K Views
Najua mnanisoma hapa, Nimefuga rasta miaka 15 hadi kukua then naleta CV zangu kumbe mnanichora tu, mkiniambia nikanyoe kwanza nimenyoa na kazi sijapata hata kuitwa kwenye interview sikuitwa...
14 Reactions
67 Replies
6K Views
Kuuliza si ujinga, naomba unisaidie kupata majibu ya maswali haya manne 4:- 1. Aliyechora ramani ya Dunia alipo kuwa anaichora yeye alisimama wapi? 2. Mtu wa kwannza kutengeneza pesa, yeye...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Ukimuona mtu anajitafunia vyake usione kavipata kirahisi rahisi tu,hakika wanaume tunapitia mengi sana kwenye mitongozo Unaweza kutuma msg 40 hakuna inayojibiwa hata moja ila tunapambana...
6 Reactions
97 Replies
6K Views
Deleted member 485868
Huyu mmarekani anastahili pongezi maana si kwa ustaarabu huu..[emoji23][emoji23][emoji23] Nawaza tu ingekua Tz kama hii pesa ingerudishwa!
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Tumsifu Yesu Kristu! Nina Jambo Nataka Kuwashirikisha Ndugu Zangu! Naandika Maneno Haya nikiwa na Huzuni Kubwa Moyoni...Huzuni inayosababishwa na Kutotimiza Ndoto yangu Kubwa ya Utotoni...
4 Reactions
86 Replies
7K Views
Dogo wa miaka 8 alishtakiwa kwa kubaka.Mahakamani,wakili wake ambaye alikuwa ni wa kike,alikatoa kauume ka dogo nje kama ushahidi na kukashikilia,akasema"ndugu hakimu angalia,anaweza kubaka...
4 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu kwema Heri ya mfungo huu unaoendelea na heri ya Sabato pia. Niingie kwenye maada kabla sijazama ndani naomba wajuzi wa mambo watadadafua nini maana ya vituko na Beach. Kwa mimi vituko...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Huku mtaani kwangu kuna wanawake wako bize kuulizia muda ambao kombe la Dunia litakuwa linachezwa Jamani, Wambieni wake zenu muda ambao kombe la dunia litakuwa linachezwa
0 Reactions
8 Replies
868 Views
Ule wakati uko chuo ndiyo umeanza kuonja pombe, mnaitana vyumbani Jumamosi au Ijumaa jioni mnaanza kunywa bapa kabla ya mtoko ili mkifika club unywe moja tu kubana matumizi. Umeanza kupenda wine...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Mother house muwe na utu kidogo, unafikiri dada anapenda kuvunja vyombo? Ni bahati mbaya kama ile inayokutokea wewe uliye nunua.
11 Reactions
64 Replies
3K Views
Napenda kufahamu ni upi muda sahihi/mzuri wa kupima afya zenu kwa wapenzi, je ni kabla ya mwanamke au mwanaume kumkubalia kwenye mahusiano, au ni baada ya kuwa kwenye mahusiano na sasa wanataka...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
A͟͟S͟͟I͟͟L͟͟I͟͟M͟͟I͟͟A͟͟ 9͟͟9͟͟% Y͟A͟͟ W͟͟A͟͟T͟͟U͟͟: 1̥. W̥ḁn̥ḁḁn̥g̥ḁl̥i̥ḁ p̥o̥r̥n̥og̥r̥ḁp̥h̥y. 2̥.W̥ḁn̥ḁp̥i̥g̥ḁ p̥u̥n̥y̥e̥t̥o̥. 3̥.W̥ḁn̥ḁc̥h̥o̥k̥o̥n̥o̥ḁ p̥u̥ḁ k̥u̥t̥o̥ḁ...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Unamkaribisha mtu ndani kwako anaanza tv nzuri umenunua wapi na mimi nikainunue kochi zuri na mimi lazima nilinunue, mwingine utasikia nguo hii nzuri umenunua wapi na mimi niinunue. Hii pia iko...
9 Reactions
173 Replies
8K Views
Kuna mambo mengine ni madogo sana lakini yanaweza kukufanya ukose confidence kabisa kwenye public. Hizi wallet kwa kawaida hua ni maalum kwa kutunzia fedha. Lakini ukiangalia muundo wake utaona...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hamna kitu kinanikera kama “nakuona online”, “[emoji848] blue tick no reply”, “mzee baba unasoma meseji zangu hujibu” Ninaudhika sana hivyo nimeamua sitaki tena whatsapp tuma meseji ya...
5 Reactions
69 Replies
6K Views
I can guess your real age, kwa kutumia hesabu, unatakiwa tu kufuata maelekezo yangu, Hatua ya kwanza: Chukua namba yoyote kati ya 1-9, yani 1 2 3 4 5 6 7 8 9 1, chukua namba yoyote moja tu kati ya...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Jana mke wangu ameamua kufunguka akisema "Kabla ya mwaka 2015 alipokuwa anachukua nguo zangu kufua alikuwa anakuta kwenye suruali na mashati,elfu 5000,2000,1000,20000, na 500 Lakini siku hizi...
1 Reactions
44 Replies
2K Views
pendekezeni majina kura zitapigwa badae zawadi itajulikana badae hola chi chat
2 Reactions
121 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…