Salaam wadau. Nipo Rock City now. Nataka nipige mishikaki ya pale salma cone. Last time nilikuja mwanza 2016 na kupata fursa ya kutembelea pale Salma Cone na kula mishikaki...
Habari enu wakuu,
Ati PM yangu ina shida gani mbona haipokei message toka kwa wadada wa JF?
Mods et PM yang mmefunga isipokee PM za wadada? Angalieni tatzo liko wapi mrekebishe
Wadada embu...
Wawe na uwezo wa kujichanganya, tutakuwa tuna kutana kila Friday na kualikana kwa mmoja wetu.
Host atapika chakula na kununua vinywaji. Anaweza kutu entertain na mziki au home cinema.
Hakuna...
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Hakika nilijisikia vibaya na mnyonge sana baada ya JF kutokuwa hewani kwa takribani miezi miwili na ushee. Nilitamani hata niache kabisa kuingia kwenye mtandao...
Habari zenu wandugu,
Wakati nasubiri chai leo home nikasema nisikilize radio,nikaweka Choice FM,basi nikasikia kuna session inaitwa mahabara ya mapenzi,yaani unawatumia message kwenye kipindi kuwa...
Hamna watu wanasumbua kama Wanaume wanaonunuliwa bia Bar kidogo tu“ tuitie manager wako unataka kumwibia boss wangu,mara bar gani hii wahudumu wamenuna kama wamepata msiba” Yaani matusi kibao...
Matatizo ni sehemu ya maisha, lkn tatizo la kuishi bila kuperuzi JF ni tatizo ambalo limenivuruga.
Haya haya wakuu tuambizane ,kipindi JF ilipofungiwa kwa wiki tatu hizi ni member yupi ulimmiss...
Binafsi niliitumbua Hela ya Ada niliyopewa na kule ambako nilitegemea kuipata nyingine mipango ' ikabuma ' hivyo ikanibidi niingie katika dhambi ya Kudanganya ambapo nilimseti Askari mmoja kuwa...
Ni matumaini yangu mko salama salmini wakuu, kuna kitu huwa kinanishangaza sana, unaweza kuwa huna shida na mtu flani ukawa unamuona mara kwa mara lakini siku utakapomuhitaji tena unakuta una...
Wakuu,
Nimekuwa nikiona watu wana mabeb zao humu kwa muda mrefu...
Sasa nimekuwa mpweke humu JF kwa muda mrefu!
Sasa natangaza vita kwa watu wenye mabeb zenu kuwa nakwapua mimi.
Hasa wewe...
KWANINI UFE MASIKINI?
BEI YA FIGO NI MILIONI 500-900
UZA FIGO MOJA KWA MILIONI 700
CHUKUA MILIONI 500 KABETI MECHI 2 ZA ODDS 2.4 MFANO MPE BAYERN WIN NA BARCA WIN
UTAPATA KAMA BILION 2.1
CHUKUA...
Tangu naanza kusikia habari za samsoni na delila sijawahi fanikiwa kumwona mdada anaeitwa ivo, kwaiyo namtafuta huyo mdada kama vp tuanzishe mahusiano, Naitwa Samson
Hivi karibuni kumekuwa na katabia cha kuwekana kwenye magroup ya Whatsapp bila kupata ridhaa ya mtu, unaweza ukaamka ukajikuta umewekwa tu kwenye Magroup ya ajabu ajabu bila kuridhia
Sasa kuna...
Jana Mchana Nililala Katika Muda Mfupi wa Kulala nikaota ndoto napita kama kwenye uchochoro ninaofahamu Nikakuta Nyoka Mkubwa Jamii ya Chatu Chini ya Kivuli cha mti..
Nikarudi Nyuma taratibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.