Juzi kati rafiki Yangu mmoja alitutoa dar hadi huko bukoba kama kampani wakati anaenda kumposa binti flani.
Ni familia nzuri na yenye uwezo wa kati wacha Mungu.
Kilichonishangaza ni kiasi cha...
Heshima yenu wadau.
Nimekaa muda huu nikakumbuka kifungua kinywa changu. Nimekula vitumbua 10 na supu ya utumbo.
Kitumbua kimoja shilingi 100 hivyo nimetumia 1000 kwa ajili ya vitumbua. Supu ni...
Padri alikuwa anafuga kuku. Siku moja jogoo akapotea. Basi akaamua kutangaza Kanisani.
PADRI: Wangapi wana jogoo? Wanaume wote wakasimama.
PADRI: Sio hivyo jamani! Wangapi wameona jogoo? Wanawake...
Ukiwa Jf kuna vitu vingi mno na mawazo ya wengi mno, mada za kufurahisha, kuhuzunisha, mahaba, siasa na utani mwingi kwa wana Jf wao kwa wao na kadhalika
Ila kuna member ukiwafuatililia katika...
Jaman hisia za mapenzi nisawa na kikohozi huwezi kuzificha . Nikiwa kama mschana pia nina moyo unaotaman kua namtu unayempenda.
Sijui ni mbaba au kijana ila Vlad popote ulipo tambua ,Nimetokea...
Maisha ya dar ni shiida na yanataka uwe na *KIFUA*, Yaani mkeo analetwa na mshikaji mpaka mlangoni na gari, ukimuuliza anakujibu kiulaini *UBER* hiyo[emoji85][emoji85]
*MZEMBE BAADA YA KUKUTANA NA REHEMA.*
*MZEMBE ;* Mambo Rehema?
*REHEMA ;* Poa!!
*MZEMBE ;* Kuna kitu nataka nikuonyeshe!!
*REHEMA ;* Kitu gani?
*MZEMBE ;* Twende chumbani kwako...
Wasalaam.
Leo nimeamka mapema najiandaa kwenye kwenye mihangaiko. Sasa nimetoka kuoga nachana nywele, nikasema nisogee kwenye kioo, japo binafsi sina huo utamaduni wa kupenda vioo. Ile kujiangalia...
ikulu dar
daraja kubwa zuri lipo dar
coco beach dar
Azam, Simba na Yanga zipo dar
uwanja wa taifa upo dar
hospital ya taifa ipo dar
airport ya kimataifa ipo dar (5 stars)
mwendokasi ipo dar...
Majina ya kwanza kwa watoto wa kwanza wa kiume
Marwa-Pombe
Mwita-vita
Chacha-zimekuja( ng'ombe zilizoibwa zimekuja)
Majina ya kwanza kwa watoto wa kwanza wa kike
Rhobi- msururu wa( hasa ng'ombe...
Ulikuwa wapi muda wote?
Wana JamiiForums tulikukosea nini labda hadi ukatususa?
Umejisikiaje kutukimbia Sisi ambao tulikupenda na bado tunakupenda na tutakupenda?
Hivi unajua kuwa Wewe humu...
Hii ni List yangu kwa vigezo vyangu mwenyewe wa nyimbo bora na nzuri zilizotoka mwaka huuu.
Diamond Platinumz ft Omarion _ African Beauty
Mensen Selekta _ Kinanda
Jolie _ Bado mapema
Kwesta ft...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.