JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
"NIKISEMA NAOMBA TUFANYE MATUSI NTAKUA NIMEKOSEA"?
1 Reactions
86 Replies
8K Views
Leo kwa wale mabingwa wa kidhungu tutajifunza sentesi ngumu za kizungu,tunaanzia hapa: 1)chungulia ndani ya chungu-POT CRY INSIDE THE BITTER. 2)nyooka,kata kona,kisha piga simu-SNAKE,CUT THE...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
MBUNGE ULAYA: Mheshimiwa Spika napenda kujua ni lini serikali itakarabati barabara ya Adam's court? WAZIRI: Mheshimiwa Spika napenda kumhakikishia mbunge kuwa barabara hiyo itajengwa katika...
7 Reactions
12 Replies
4K Views
Tanzania ndio nchi pekee ambayo jangwani kuna mafuriko. Tanzania ndio nchi pekee ambayo risasi inapigwa juu inaua chini. Tanzania ndio nchi pekee ambayo... Endelea
2 Reactions
46 Replies
7K Views
Nipo njiani naelekea shamba kuvuna mpunga kwakua ndio nilio upanda. Kumbuka kutenda mema kwa sasa ukiwa na uhai hapa dunia kwa kuwa ndio mavuno yako hapo baadae...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Imezoeleka /mara nyingi pombe hasa Konyagi humiminwa na hunywewa kwenye glass ikiwa na kipande cha limao au barafu. Nimeshangaa sana kumkuta jamaa anakunywa konyagi anaimimina kwenye kikombe cha...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Hope wote mu wazimaa..... ila kusema kweli jamani nimeimiss JAMII FORUM mpaka machozi YANANICHURUZIKA semaa huyu boss mpyaa anatupeleka mchaka mchaka mpaka nasahau kushika simu All in all...
1 Reactions
9 Replies
820 Views
Ukibisha sikushikii fimbo.. Weekend njema.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana? Naomba mnisaidie jinsi ya kuyaepuka haya matangazo maana nimekua nikikosa raha kabisa niwapo online. Yamekuwa yakijitokeza kila baada ya sekunde 3, 2, 1 yaani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za majukumu wakuu wenzangu na wadogo zangu pia. Sababu ya kusema hivi ni kwamba nimeangalia wanajamvi kwenye huu mtandao ni wengi mno ila wanao anzisha mada ni wachache sana. Kwanza...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Harakati za kujikubali na kujiamini na mwili wako hata uwe wa size kubwa kiasi gani ambao kwa nchi za wenzetu wanaita body positivity imezidi kupamba moto mpaka kufanya wanawake kutojali miili yao...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hope wote mu wazimaa..... ila kusema kweli jamani nimeimiss JAMII FORUM mpaka machozi YANANITIRIRIKA semaa huyu boss mpyaa anatupeleka mchaka mchaka mpaka nasahau kushika simu All in all...
6 Reactions
113 Replies
5K Views
Bila shaka mko poa sana wadau wangu wa JF,ebuana ni ghafla katika kutulia zimenijia fikra majina na avatar za hawa wadau #stunter na #nyaningabu wako wapi hawa?,hususani huyu stunter alikuwa...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari za majukumu wakuu. Napenda tushee kwa pamoja hili suala maana kila mmoja kuna kitu anapenda na akikiona roho yake inatamani hapa nazungumzia kwa upande wa juisi tu. Mimi binafsi hata kama...
0 Reactions
59 Replies
6K Views
*Timu zilizo ingia Fainal ni* Simba Azam Croatia na France Kama hujaona team yako *Utapata tabu sana* [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Acha umbea,mwone!
0 Reactions
21 Replies
2K Views
mod njooni mnifungie kama mnaweza
0 Reactions
4 Replies
858 Views
Ronaldo ni mjanja sana, ameona kipindi hiki anachoelekea kuchuja na miaka ikienda mbio ( kwao miaka 30+) ni uzee, ameona apige dili la mwisho la maana kwenye mpira wa miguu kama kazi yake. Kila...
0 Reactions
8 Replies
875 Views
Back
Top Bottom