Jamani kunahitajika maombi kama taifa kuombea wasanii na watu mashuhuri nchini dhidi ya roho ya kifo inayoendelea kutuandama.
Vilevile na majanga yote kwa nchi yetu
Hebu oneni wasanii...
Habari zenu wana JF .
Katika harakati za maisha nimekutana na wakomoro tunaishi sehem moja sasa ttzo hawajui lugha ya kiswahili wala English hivo sote tunapata tabu ya kuwasiliana.
Hivo kwa yoyote...
Heshima kwenu wapendwa.
Naleta uzi huu kwa ajili ya kutupia Avatar za members waliomo humu ambapo unaweza kusema kama inakushangaza, inakufurahisha, Inakuvutia etc. Kwa kuanza naanza na hii hapa...
Wadau:mda huu nimetoka kununua UNGO anaejua taratibu za kupaa tafadhari.
... Kama mda husikaa hapo juu kuna safari imetokea ya ghafla na inanibidi nifike sehemu ile mapemaa iwezekanavyoo. Sasa...
Je ulishawahi kutana na kitu cha kutisha usiki kama mchawi, jini, mnyama basi share na sisi tukio lako hapa. Nianze mimi;
Iikua mwaka 2007 nipo na washkaji wawili tumetoka kucheki muvi za usiku...
Vipi katika harakati zako za kusaka demu,na bahati mbaya demu ni rafiki wa Dada ako umewahi kumtuma Dada ako akuunganishe ili umege mzigo?
Mi bwana imewahi kunitokea,nikampenda Dada ambaye...
Wapendwa wana jf MMU, GTs, PF,
Chit chat na majukwaa yote ya Jf like JLW mnaonage tukaorganize kitu ili ikiwezekana one day tujumuike sehemu fulani na kusherekea pamoja ikiwa ni ishara ya...
Najua wengi tunapenda Mpira sasa leo mwenzenu nahisi kama hawa member wangekuwa Timu zilizoshiriki kombe la Dunia wangekuwa kama ifuatavyo:
1. Mshana Jr -Crotia
2. Hajar -Belgium
3. GENTAMYCINE...
Ukisikia Mwanamke Kujikubali Umbo Lake ndo Hivi (Body Positivity)
Harakati za kujikubali na kujiamini na mwili wako hata uwe wa size kubwa kiasi gani ambao kwa nchi za wenzetu wanaita body...
Mabibie na mabuana hellow,
Sitaki kuianza hii mada na mbwembe nyingi kwani mpaka hapa nna maumivu.Siku ya Leo nimeogopa sana na kujikuta naanza kuwaonea huruma Dada zetu wanaopigania jasho lao...
Habari za Jumapili familia pendwa!!!
Kwa ndugu zangu waislamu nawatakia mfungo mwema!
Nina uhakika kwa namna moja au nyingine kuna wenzetu wamewahi kukutana na matukio ya kuchekesha wakiwa katika...
Habarini wana jamvi
Kutokana Na ushauri Wa wadau ambao kwa kiasi kikubwa unajenga,
Tumeona ni vema tukawa Na utaratibu mzuri Wa uendeshaji Wa interview (mkabala) hapa jf.
Hii kwa kiasi Fulani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.