Jiulize haya yanatutokea kila siku.....
LAW OF QUEUE:
Ukibadilisha mstari unapopanga foleni ule uliouacha unakwenda mbio zaidi.
LAW OF TELEPHONE:
Namba unayopiga kwa makosa daima haipo...
Kwamba mwenzenu mapenzi yangu ni makali sana mpaka sielewei itakuwaje huko mbeleni. Muda ote niko naenjoy mapenzi naye. Sioni kama kuna umuhimu wa kufanya jambo lingine zaidi ya muda wote...
Nawasalimu wote humu JF kwa kuzingatia utukufu wa aliyejuu.
Ninayo furaha kuwajulisha kuwa nimetoka vijijini nilipokuwa na sasa niko hapa Mwanza town.
Katika safari yangu huko vijijini niliona...
Wadau huu ni uzi maalumu kwa wana jf yoyote ambaye alishawahi kulimwa ban embu tujuze ulijisikiaje baada ya kugundua uko kifungoni na unamiss mambo moto moto ya JF
Kiukweli mimi bora nifungwe jela mwaka mmoja siwezi kuolewa na x wangu maana aliniboa kweli kweli.
Tena nahisi hata nikikubali kunioa nahisi ningekuwa nimenuna kila siku ndani ya nyumbaa.
Hili...
Tunapenda kujuza kwamba,
Kuanzia wiki hii tutakuwa Na interviews mbili tu kwa wiki.
Kwa siku za jumatatu Na alhamisi
Kuanzia saa kumi Na nusu jioni.
Ikiwa kutatokea mabadiliko ya
Siku tokana...
Leo ni siku ambayo sitoisahau kabisa.. katika shughuli zangu ilitokea nilikuwa nmekutana na watu kadhaa ambao nilikuwa nawafanyia presentation. suruali ambayo nilivaa leo muda flani wakati...
Baada ya jamii forums kuwa suspended kwa mda kidogo nimejikuta kuwa mzito kidogo kuingia jf mara kwa mara tofauti na ilivyokuwa awali nadhani sio mm tu hata members kibao siwaoni wakipost tena...
Naona kwa mbaali nimeanza kupata wapinzani ambao hupoteza mda wao kuja kusoma nyuzi zangu huku wakijaa upepo (povu). Nasema nitashukuru sana wakiongezeka maana mtaniongezea angalau ufaham kidogo...
Ali tuliishi mtaa mmoja wote tukiwa tunaishi kwenye government quarters kutokana na ajira za wazazi wetu. Kwao Ali walizaliwa saba na mama yao alikuwa Mama wa nyumbani tofauti na mama zetu...
Kulikuwa na Ndege ilikuwa inaanza safari ilivyokuwa Angani mara ghafra ikapata hitilafu,
Ndipo rubani akatoa taarifa kwamba ndege imepata hitilafu na itadondoka baada ya dakika 10.
Ndani ya...
Wanaume mnatembeaje mmeshikana mikononi Doh![emoji23] [emoji134][emoji125][emoji125][emoji125]
Nimekutana nayo sasa hivi maeneo ya mikocheni,nimeshangaa sana,inabidi ukizaa mtoto wako wakiume...
Kwa upande wangu naona bora mara 1000000 kuwa mwanaume wa dar kuliko wa shamba kwa sababu zifuatazo.
Dar kuna kila kitu ambacho Mikoani baadhi kupatikana shida.
Dar hatulimi ila unachotaka kula...
Ndani ya ndege kulikuwa na watu watano Lakini maparashuti yalikuwa manne tu. Watu hao ni mchungaji, waziri, mwanajeshi, mpare na mwanafunzi wa chekechea.
Mchungaji akasema yeye anategemewa na...
WADAU HABARI ZA MDA HUU, JE NAWEZA KUPATA MTU WA KUNIFUNDISHA KUTUMIA ADOBE PHOTOSHOP MWANZO MWISHO? AU MAMBO YA KUDIZAIDI VITU MBALIMBALI, KAMA VILE , COVER, WEBSITE, EDITTING PHOTO KWA UFASAHA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.