JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Duniani kuna watu wanachuki, wana wivu mpaka unayechukiwa unashangaa why? Kuna jamaa ananichukia kiasi kwamba hata nikisemwa kwa mabaya anapinga. Yaani kila kinachosemwa juu yangu anaonesha mi si...
1 Reactions
2 Replies
686 Views
wakuu kwema.... Naomba kuuliza tu... hawa wanawake kila siku mnasema maharage ya mbeya nyie mnawapataje! tupeni mbinu wenzenu tumechoka kupigwa vya mbavu. au utongozaji unanipoza sijui...
31 Reactions
648 Replies
24K Views
Wakuu, tupeane mbinu aisee kama kichwa cha habari kinavosema. Nilikua naenda kununua betri ya laptop, kwenye wallet nlikua na elfu 80/-. Nimefika shop na kupatanisha betri, ile nataka kutoa hela...
13 Reactions
103 Replies
7K Views
*WAHEHE MSIJIFANYE HAMJASIKIA TANGAZO LA WAZIRI LUGOLA, MBWA BADO HAJAPATIKANA, NAONA MNAJIFANYA MKO BUSY NA MATOKEO YA YANGA*[emoji84]
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mb 200 tangu najiunga mwezi umeisha haijapungua hata mb moja,nazitumia kwenye nokia yangu ya tochi,fanya ujinga uweke kwenye smartphone hata dakika haiishi zimekata, kwa ujinga wako umesoma hadi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
At a wedding, I whispered to a person sitted next to me *ME..* the bride is ugly!! *PERSON..* if you dont mind, thats my daughter *ME..* ooh am sorry I didn't know you are the father...
0 Reactions
2 Replies
905 Views
Watafiti wa afya ya uzazi Chuo Kikuu cha Milan Italia wamesema wanaume wanaokunywa chupa 1 ya bia au glasi 1 ya mvinyo kwa siku wana mbegu bora kuliko wasiokunywa na kuwa mbegu zao zina uwezo...
0 Reactions
6 Replies
917 Views
JF kila mtu msomi JF kila akili nyingi JF kila mtu usalama JF kila mtu ana Nyumba "" """" """" """ Gari """"" """"" "" alichelew ndege Ongeza na vingine.....
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Hope you all mpo pouwaa..... Kwakuwa leo ni furahi day na nimeamka na furaha ya ajabu unaweza kuniuliza swali lolote kuhusu mimi ili mumjue the real mambembe na mtofautishe na mawazo...
5 Reactions
101 Replies
5K Views
DJ Sepetu tumemiss live interview zako, je nini kimekusibu? Au kuna kitu kipya unatuandalia msimu mpya wa interviews? Lini live interviews zitarudi?
3 Reactions
37 Replies
1K Views
Jamani haya maisha nimepitia vituko vya kukata na shoka. Mwenzenu kuna siku nililala na mwanaume alikula ugali na makange ya kuku yana pilipili akaongeza na pilipili ya kukata pembeni pilipili...
13 Reactions
129 Replies
9K Views
Sio siri tena ni dhahiri kuwa mwanamke hutumia sim au hushika sim mara nyingi kuliko mwanaume Matumizi ya sim kwa mwanamke yamekuwa ya hali ya juu na imekuwa ni njia sasa ya kuwasilisha shida au...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Onyo
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za majukumu leo nimeamka mapema sana kuja kuwapa angalau mawili matatu kwa ajili yenu,.. Mwanamke asiejikubali mwenyewe hata mimi wa kando siwezi kumkubali. Wako wanawake wazuri ila na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
MUME: Hallo my queen… MKE: Nambiee..my darling MUME: Nimekumiss honey. MKE: Hata mie nimekumiss ile mbaya.. MUME: Samahani mke wangu leo sitaweza kurudi nyumbani.. nitakuja kesho asubuhi MKE...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
.
0 Reactions
2 Replies
789 Views
Kuna makabila yanapenda kukutania wewe tu,.. Ukijichanganya kuwatania wao wanakua na povu la karibu mno. Siku ambazo niliwahi kutembea bongo kikazi na binafsi niliyagundua haya.... Wale wazee wa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuna uzi huu https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1458539/ Usibonyeze link kama hauna access na JLW. Nimelikuta hili swali kule mafichoni, lakini sijaona vyema kujibia kule kwa sababu...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Alifika salama mwenzetu anawasalimia sana Kwa wale mliokuja pm niwaambie tu tumalizane hana hata dalili ya chura..cc behaviorist
0 Reactions
12 Replies
963 Views
Kwa muda mrefu sana huyu jamaa wa kuitwa GENTAMYCINE amekuwa akijinadi hapa JF kama a proudly Rwandese ( Rwandan ?) . Sioni tatizo lolote lile kwa mtu kujivunia asili yake...
3 Reactions
442 Replies
29K Views
Back
Top Bottom