Heshima kwenu wakuu.
Kwa muda ambao nmekaa humu jf nmetokea kuwakubali zaidi baadhi ya watu na kutamani hata kuwafahamu nje ya Jf kutokana na michango na mada zao. Sio kwamba wengine siwakubali...
Kheri ya mwaka mpya wana JF.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Kumbe ukikosa bundle la kuingia JF ndio utamjua rafiki wa kweli.
Kipindi ambacho nili ishiwa kuna marafiki wa kweli...
sikaange mbuyu ukawaachia wenye meno watafune. Do not roast baobab kernels and leave those who have teeth chewing (them). Don't start quarrels among other people (bv telling tales).
Usile...
Yani wanawake wanapolisikia jina la Mange Kimambi akili huwaruka kabisa na kuwa kama vichaa.Ikitokea mwanaume kagombana na Mange Kimambi basi tegemea hata picha za uchi atakazopigwa na mke wake na...
Ni matumani yangu kwamba humbu ndani wote hatujambo ila ikiwa yupo ambaye hayuko poa kiafya namtakia uponjaji.KWA NINI HOUSE GIRL ASIMCHUKUE MUMEO,,,?
Kwa kukaa kama Sanamu.
MUME: darl ninakikao...
Episode 03
Na mende msafi
Previously in jf talk garden
@deogaratius kisandu: acheni upumbavu nyinyi..mbona mna wivu sana nyinyi. Kwanza tokeni hapa kama hamuwezi kuongea vya maana ntamwaga meno...
Habar za jumapili wapendwa lengo la andiko hili ni kuwafahamisha ujumbe nilioupata toka kwa mh. mwakyembe waziri wa michezo kuwa anahitaji meche ya kirafiki kati ya timu ya bunge na wana...
wadau wa humu mimi sio mwenyeji ni wa juzi juzi lakini kuna dada napenda swagger zake Haki ya mungu...
kuna kapicha nakaona japo sikajali sana hako kapicha lakini aisee upendo unatoka kwa mungu...
Me nikikumbuka siku ya alhamisi kule shule ya Msingi kule Banana huwa nilikuwa nakerwa sana siku ambayo nimejitolewa kwenda mstarini (maana siendagi) halafu wale wapiga ngoma wanaanza kiherehere...
Hello WanaJF huu ni uzi maalum wa kutambua unatumia simu ya Aina gani??, Kwa kufanya hivyo utaweza kuwatambua wanaJF wanaotumia simu kama yako na utaweza kujiongezea marafiki kwa Uzi huu...
Wakuu mi nikiingia jf nakuwa kama chizi,hata kama na hasira vipi utanikuta nacheka peke yangu.ukisoma id ya mtu lazima ucheke,post ya mtu ndo kabisa lazima u smile.njoo kwenye comment sasa...
Kanazingua...
KENYEWE: pipi
MIMI: haya kachukue kwenye friji
KENYEWE: taaki (yaani sitaki) kana 2yrs ka kiume
MIMI : Unataka nini
KENYEWE: ua (maana yake nivue nguo joto)
MIMI: Nimekavua nguo...