JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sijawahi kuwa msikilizaji wa vipindi vya radio, naweza sema kwa bahati nzuri juzi nilikua kwnye mgahawa mmoja,Mara Radioni niliskia sauti iliyonifanya niweke tention kwnye Radio.. Baadae ulitaja...
4 Reactions
52 Replies
14K Views
Kama haujawahi kuona basi jua hivi ndio vichwa vya familia havina tofauti na Yai.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa upande wangu mimi sitokuja kusahau siku nilitembea na mke wa mtu baada ya kufika nyumbani nashika nyeti zangu nakuta hamna kitu, kusema kweli nilipagawa ila nashukuru zilirejea baada ya siku...
5 Reactions
135 Replies
10K Views
[emoji121] WAKUU, KAMA WEWE MI MSELA, UNAISHI GHETTO HALAFU UNATANDIKA KITANDA KINANYOOKA KAMA RULA, UNAPIKA WALI LAINI, UNAUNGA MBOGA NA NAZI, UNADEKI GHETTO NA TAMBARA LA DEKI HADI GHETTO...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Neno maarufu hapa JamiiForums lililozoeleka sana na kutumika karibu mara kwa mara na kila mtu neno hilo ni mkuu, neno mkuu linatumika kila siku na katika kila comments 5 basi 3 zina neno mkuu...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Agizo kwa Wanaume wa Dar toka kwa Wanaume wa Mikoani. Kumekuwa na Tabia kila msiba unapotokea Dar mnajazana kuja kijijini kuzika... +Mkifika hamchimbi kaburi. +Hamumlilii marehemu +Hamumswalii...
9 Reactions
45 Replies
6K Views
Kina dada wazuri naomba mnitumie picha zenu pm Nina shughuli ya kufanya lengo ni zuri watakao tuma watakuna na muamala mzuri tu Wa M-PESA tigo pesa na Airtel money! Karibuni warembo wazuri!
3 Reactions
284 Replies
47K Views
Kuna madada wawili watatu nawajua ambao walikuwa na maringo balaa siku za nyuma lkn oversudden nawaona wanabadilika kwa kasi ya 4G. 1.Mfano kuna mmoja nilisoma nae siku za nyuma,alikuwa montress...
10 Reactions
101 Replies
9K Views
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
3 Reactions
22 Replies
3K Views
*Ukiona kila siku kuna pesa inapotea ktk wallet yako wakati unapo ondoka home asubh. Nunua Pc 1 ya Dume au salama, katafute na PREGNANT TEST inayo soma Positive weka kwenye wallet yako then relax...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Hivi ni kipi kati ya sikio na pua, kinachoshikilia miwani pindi unapokuwa umeivaa?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wana jamvi. Haya maswala ya ubuyu, aka ushilawadu yanazidi kushamili kwa kasi hapa nchini. Haipiti saa wala dakika ukakosa kuuona ubuyu mitandaoni, hi inaonesha wazi kuwa vijana...
2 Reactions
49 Replies
3K Views
#AnnoyingAfricanHabits When your parents are shouting at you and they ask you a question ,when you try to answer "Don't argue with me,you shut up when talking to me" #AnnoyingAfricanHabits When...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za mida wakuu. Nipo kwenye boti mda huu kutoka Dar kuelekea Zanzibar kubwa kuliko yote nahitaji dua kwa imani yako ili nifike safari yangu salama.
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Ona sasa kiswahili chao duuuh
3 Reactions
29 Replies
6K Views
Mzungu aliuguliwa na mbwa wake akampeleka Kanisani ili aombewe. MCHUNGAJI akamkaripia kwa ukali hatuombei mbwa hapa! Mzungu akauliza ni wapi wanaombea? maana nina sadaka ya sh. MILLION 5 kwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hizi ni baadhi ya sehemu za kwenye ile filamu ambayo nahisi ni moja kati ya filamu bora sana kuwahi kutengenezwa hapa duniani. Ina masaa matatu lakini huwa sichoki kuangalia na kuirudia. Japo ni...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Hello JF,mambo zenu,,weekend mida ya mchana Jumamosi nilikua Free Sana,and kukaa home nikaona michosho,,nikapata Wazo la kwenda Ledger Plaza kupumzika,swimming..si unajua weekend in Dar es salaam...
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Back
Top Bottom