Tusaidiane wadau katika hili mm nikijana mwenye umri mbichi ingawa nafaa kuitwa baba,nilikuwa na mahusiano na binti mmoja ambaye hatukufikia wala kuwahi kusex nae,akawa ameenda mkoa jirani...
Ukiona kila siku kuna pesa inapotea kwenye wallet yako Kila wakati unapo ondoka home asubuhi. Basi wala hata usiumize sana kichwa kumtafuta mwizi wako,we Nunua packet 1 ya Dume au Salama(kandamu)...
Habari,
Nina wiki tatu Tanzania kutokea South America toka nifike hapa home nimeona mambo ya ajabu sana, nimetongeza demu amenikubalia na kunipga mzinga ndani ya siku ya tatu ya mahusiano...
Leo nimetoka zangu matembezini ghafla nikamuona msichana mkaliiiii kwa mbele,nikamsimamisha akasimama.
Mimi: Mambo Dada?
Dada: Pouw, enhe shida?
Mi nikaanza kuimbisha,huwezi amini kabla hata...
Mara leo ukonga na kesho upo kimara
Tazama unajivunjia hadhi na heshima yako bure, ilikukubidi ufikili ndipo uamue bora pazia kuliko bendera kufata upepo, ninapota habari zake ninamsikitia kutwa...
Waungwana habari za mchana. poleni na kazi ndugu zanguni. naandika hapa nikiwa nimefurikwa na furaha pomoni. katika harakati zangu za kutafuta mwenzi wa kufanana naye kwa mazuri naanza kuona...
Niko dsm, katika kukutana na ndugu yangu mmoja (KE), bahati mbaya ama nzuri akaja na jopo la Marafiki zake.(Hii haikua kesi)
Nyongo yangu ilinipanda baada ya kuona style ya ulaji ya wale kina...
Wapendwa nina wasalimu kwa kuwatakia amani tele.
Leo nimekutana na kaka yangu Bujibuji kasema amepigwa ban, na huu ndio ujumbe wake kwenu.
WASWAHILI TUNA ROHO MBAYA
MPAKA SHETANI ANATUOGOPA...
Oyooooooooo!
Weeeeeeeee!
Kumekuchaaaaaaàaaaaa!
Mambo viiiipiiiii!
Alright the weekend still on fireeeee!
Na DJ sepetu bado naendelea kukandamize mwana wane hadi wenye roho za kutuuu wafwe...
Wadau habari vp naona kama jf yetu imevamiwa na wakulima wa ndizi
Hivyo muda wote kunakua na thread zisizi na kichwa wa la miguu tafadhali naombeni wasifu wa mkulima huyu ili apewe utaratibu...