JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimejikuta tu nakakumbuka haka kajamaa "mzee wa mikumi" na vijistori vyake vya mikumi! kuna watu huchangamsha jf, kama una frastration zinaisha unabaki kucheka tu,huyu alikuwa mmojawapo ana...
0 Reactions
4 Replies
670 Views
One of the sexiest joke .. But Very logical [emoji12] A Boy was having sex with a girl on a Railway track.. The train driver spots them and starts hooting but they ignore it.. He applies brakes...
4 Reactions
2 Replies
990 Views
Yule mtoto amaeshazaliwa ni wa kiume mwenye afya njema. Amezaliwa tarehe 10/12/2017 katika hospitali ya familia.
9 Reactions
87 Replies
7K Views
*Eti bible ingeandikwa jeshin basi ingekuwa inasomeka hivi;* Basi Yesu alpotoka kusal mliman aliwakuta Kuruti wa Coy yake wanakula utawala,akawaambia "kwann Mnanivuna..hamwezi kufuata DEMO yangu...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wana JF, Ukifanya haya tena ukiweza labda yote basi utafanikiwa kuwa katili zaidi hadi ibilisi atakushangaa.. 1. Usihudhurie misiba kuwapa watu pole. 2. Watu wakipatwa na majanga usiende...
6 Reactions
71 Replies
5K Views
Watu wanagombea mahindi ya kuchoma kama nyama! hii ni baada kunyesha mvua na kukata. Ningependa kujuwa, kuna uhusiano gani wa mvua na watu kula mahindi ya kuchoma?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ikiwa umefunga mwaka uko single na umeanza hivohivo bila kuchange status..lets meet here dears
14 Reactions
175 Replies
8K Views
Kwako braza FisadiKuu Jukwaani umeadimika sana, pia hata pale kwenye kilinge chetu cha FIRE siku hizi hauji kabisa. Nashindwa kujua nini kimekukuta, hebu jitokeze bwana kijana wako MALCOM naona...
3 Reactions
15 Replies
938 Views
KISWAHILI KILIVYOTATIZA MSIBANI TARIME: Ndugu Sangu tumekucha hapa Maarum kwa chambo mocha tu. Mama Rhobi AMEFIRWA na kaka yake usiku wa kuamkia reo. Chambo ra kufirwa si ra mcheso, na sio ra...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Lakini Shetani ni m'baya sana.. Sa alikua anamjaribu Yesu eti abadilishe mawe kuwa mkate. Tungekua tunajenga nyumba na nini? imagine Unashindwa Kulipa Rent Landlord anakuja na Chai Anakula Nyumba...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana iv ni kwanini kila siku matukio ya askar kuwapiga watu hutokea dar wala si mikoan? Ina maana watu wa dar ndo kitonga sana? Ina maana maaskar wa dar washaga...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
I salute you JF members; First of all I will not be appologetic since I have done my home work quite well. As far as I am concerned Homosexuals are perverts but that does not limit me from trying...
1 Reactions
8 Replies
704 Views
Niaje wadau.. Ni mara kadhaa sasa kila nikiwa naamka asubuhi nakuta boxer yangu imeshachafuliwa na dyudyu..... .yan mpka nimejikuta kwenye mawazo yaliozaa swali lifuatalo ambalo ntaomba...
0 Reactions
57 Replies
3K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Kwa kaka zangu shemeji yenu butogwa shija anaumwa sana aisee yaan hata ongea yake siyo nzur aisee, nimeongea...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa nataka kujua...kitu hapa kwa wanawake wale, wenye baka jeusi mapajani juu ya goti, nishasikia watu wengi wakisema kuwa ni watamu sana wakiwa, uwanjani kwenye 6 kwa 6 hivi ni...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Haya jamani najua wote humu si wanaopenda kwenda club na kunywa mvinyo(pombe) ila wewe unaependa funguka huwa unapenda kwenda club gani mkoa wowote na mvinyo gani hupendelea kutumia, usisahau...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Ndugu robot Invisible , umeadimika sana baba, nimekumiss, huonekani jukwaani tena. He, umetekwa na wasio julikana? Je umekumbwa na sakata la vyeti feki? Sema neno moja baba na nafsi zetu...
0 Reactions
3 Replies
687 Views
Ndugu zangu wanafamilia ya JF 'Nimekumbuka wimbo wa siku nyingi kidogo ambao kiukweli sikuupenda wala sijui kaimba nani japo nimekuja kugungua umuhimu wake ukubwani 'KUMEKUCHA sasa kumekucha...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…