JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Rejea kichwa hpo juu. Nshawai kujiunga ba magroup ya watsap karib ma4 yote nkfukuzwa et sababu creply cmc au nakuwa outs xana. Jaman hiv vyuma alafu uwe busy na social networks c utakula mawe...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari za mida wana ukumbi . kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mhusika wa interview anifanyie mahojiano ya live meaning majibu ya papo kwa hapo. Nitajibu anything mtakachohitaji sikia...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Aisee wabongo Majuu ya London kweli choka mbaya......yaani aisee mmezichanga na kumleta huyu jamaa aje kuwatumbuiza??? Sishangai hata huo ukumbi wenu kama parking ya gari...... Alafu...
9 Reactions
90 Replies
10K Views
Ni moment gani ya utotoni ambayo uwezi kuisaushau kwenye maisha yako? inawezekana ilikuwa ni moment ya kufurahisha sana au ya huzuni sana lakini mpaka sasa bado unayo akilini na kwa namna...
0 Reactions
4 Replies
660 Views
*HIVI USHAWAHI KUA NA STRESS YA mwezi January*.......MPAKA RAFIKI YAKO ANAKWAMBIA KESHO HARUSI YA DADA YAKE.......WEWE UKAMUULIZA *MWILI UTALETWA SAA NGAPI* [emoji23]
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Niaaaaajeeeee! NAOMBENI mumsaidie huyu mTz halisi mwenzenu ana mateso sana ya moyo Anatamani KUOLEWA lakini hapati BWANA wa kumuwowaaa... MTz: Money Penny nahisi kujiua.. marafiki zangu wote...
4 Reactions
207 Replies
17K Views
Kwani Evelyn salt uko wapi mbona unanitesa hivyo nifanye nini ili ujue nakupenda. Siyo nakupenda tu ila nakupenda sana njoo Evelyn Salt tafadhali njoo najua upo nataka uelewe
5 Reactions
114 Replies
7K Views
Kwanza umeonesha una wivu na wasanii wa kike na umeonesha una mahaba na wasanii wa kiume. Wanawake huwa mna mengi ya kuoneana gere. Juzi tu tumekuona ukiwa kimbelembele kuwapeleka Studio Babu...
14 Reactions
79 Replies
10K Views
Maneno ya Lemueli mfalme, ujumbe mzito ambao mama yake alimwambia ili kumrekebisha. Niseme nini, ewe mwanangu, niseme nini, ewe mwana wa tumbo langu, niseme nini, ewe mwana wa nadhiri zangu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga(gari), dirisha zinakuwa tinted! 2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate. 3. Vile wewe mfupi, ukipiga picha ya passport inatokea full. 4...
3 Reactions
7 Replies
6K Views
*Hivi hizi nyumba za wageni zina barabara ndani......maana naskia watu wanagongwa sanaa*
0 Reactions
1 Replies
847 Views
2 Reactions
2 Replies
951 Views
MADAKTARI KWELI HUONA VITUKO Jamaa ana tatizo kaingia kwa Daktari ikawa kama ifuatavyo,, Jamaa: Dokta nina tatizo huku sirini, Daktari : Hebu vua nguo tuone, Jamaa: sawa navua ila naomba...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwaka ujao utakuwa na miezi 11, kutokana na malalamiko ya wananchi kuhusu mwez huo kuwa hauna mtonyo hivyo sirikali imefuta mwezi january. Hivyo utaanza na mwez feb [emoji12] [emoji12] [emoji12]...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Unalikuta njemba limefuga ndevu kama beberu lkn wakimtwanga ngumi mbili tu za pua anatokwa na machozi kama toto la kike!, sasa kuna haja gani ya kufuga ndefu zote hizo? Chozi linapendeza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waungwana. Ikiwa umebaini kwa ushahidi kabisa kwamba mkeo amezaa na kiongozi wako (Anaweza kuwa waziri, Mkuu wa mkoa, Rais,) na pia kiongozi huyo ndiye muajiri wako ambae anauwezo wa kukufukuza...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Jama kaaga kwa mkewe anaenda Songea kwa wiki nzima,kumbe kahamia kwa mchuchu nyumba ya pili toka kwake,.. siku ya kwanza akalala,asubuhi alipoamka akamua kuchungulia kwake kukoje,si akamuona...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
1. Tabia mbaya kwa mke kumwambia mumewe... "wee una shepu ya kuwa na, mwanamke kama mimi" 2. Tabia mbaya ni nini: tabia mbaya kuwa na "mchepuko" wa nje wakati umeoa/umeolewa 3. Tabia mbaya kukaa...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
2 Reactions
2 Replies
964 Views
Back
Top Bottom