JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nani kakukera zaidi mwaka ulioisha 2017 ? 1. Your parents 2. Ndalichako 3. Vodacom 4. Tigo 5. Airtel 5. Lizaboni 6. Bus conductor 7. Startimes 8. Your boss @ work 9. Husband 10. Wife 11. Boy...
0 Reactions
38 Replies
2K Views
Jumapili njema Ni wiki ya pili tangu nimeanza kujipiga balimi lakini sielewi kwanini silewi kama wenzangu na siyumbi,sasa nataka kujua ukilewa unajuaje kama tayari goma limekolea mimi naona...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wana jf kama kichwa cha uzi hapo juu wale ambao tulikuwa na katabia ka kutopenda kuvaa shati lenye nembo ya shule ili tusitambulike kirahisi tunakosoma ama kwa sababu nyingine tofauti...
1 Reactions
2 Replies
718 Views
Habari zenu wana jf.Niende kwenye mada ni hivi sina uwezo wa kukumbuka watu wangu wa karibu Mimi nimesoma shule ya msingi makumbusho(2006)nimehitim lakini hakuna hata rafiki yangu mmoja...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Happy_birthday_to_me
0 Reactions
6 Replies
982 Views
Kidogo mm sio mjanja katika ulimwengu huu wa saa maana nimebase saana upande wa Simu/Computers, je nitajuaje kama Rolex watch ni Original
0 Reactions
21 Replies
38K Views
Ni Karibia Mwaka sasa, Nimefungua account JF japo nimekuwa nikisoma Makala za Humu kwa zaidi ya Miaka Saba iliyopita. Unaweza Kuniuliza Chochote Kuhusu Mimi Nikakujibu Kiufasaha.
0 Reactions
27 Replies
1K Views
Helooooo Jf Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii. Kanivutia sana nimempenda sana. Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha...
5 Reactions
1K Replies
67K Views
Usi coment chochote nataka kuona walio soma na kuelewa.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Sasa ni takribani miaka 20 inakarabia tangu kombe LA dunia LA mwaka 1998. Moja kati ya best players niliokuwa nawakubali enzi hizooo. Katika timu ya croation kuna mchezaji alikuwa anaitwa davor...
1 Reactions
60 Replies
11K Views
Masaa ndio hayo kabla wazee wa ngindo hamjanyonya, kabla wazee wa moshi hamjapuliza, kabla wazee wa chupi hamjazitoa kwenye viwiliwili vya wahusika katika kusherehekea ujio wa mzee 2018 tutumiane...
7 Reactions
80 Replies
10K Views
Habari za jioni wadau. Nimekaa pub moja hapa Jijini kwa wala chips mayai. Kuna bidada moja kaingia amevaa nguo fupi, shida ni umbo lake hata sanamu la Michelini lina nafuu yaani inakera, kwa...
0 Reactions
17 Replies
953 Views
*KUMECHISHA NI NINI?* ```Kumechisha ni pale *Simba kucheza mechi 4, imepata points 4, imefunga goli 4, imefungwa goli 4, inarudi Juma4 na boti ya saa 4.*``` [emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAISHA NA MAAJABU YAKE [emoji818]Mmliki wa kampuni ya TECNO anatumia Iphone [emoji818]Kiwanda cha kutengeneza mishumaa kinatumia umeme [emoji818]Meneja wa kiwanda cha bia anakunywa soda...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamani mm nimeboronga. Nawezaje kulazwa hospitali nikiwa mzima wa afya ili nisolve tatizo langu fulani?Maana hiyo ndo solution pekee. Naombeni ushauri
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mkija mjini manzie Coco Beach muoge maji chumvi,Maana mkija mjini mnanuka sana tukipanda nanyie katika daladala tunatamani kushuka! Kingine mna wivu sana mkiona mtu katiia V8 au Discover 4 ,Prado...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
<b>Time to Laugh!!!!!!!!A graduate in Biology was havingdifficulty in finding a job. He sawanadvert in one of the dailynewspapers for a job at a zoo.In the interview, the managertoldhim that their...
1 Reactions
0 Replies
599 Views
Mwaka ulioisha ulikuwa na maajabu yake jamani,loh!nadhani hatutayashuhudia tena. _mazishi ya kitaifa ya kamanda mbwa. _Dr Shika na Mia tisa yake, _Babu seya na mwanawe kusamehewa. _Lulu mtoto...
0 Reactions
1 Replies
553 Views
Leo nimesikitika sana nimeamka nimekuta mvua kubwa sana na baridi na kwa bahati mbaya au makusudi Tanesco wamekata umeme na kiukweli nimesononeka sana sababu Tanesco wana hatarisha kazi yangu...
0 Reactions
68 Replies
4K Views
Back
Top Bottom