JF wanatulazimisha tuweke nyuzi zinazopendwa na Mods tu
Wasipojirekebisha watapoteza watu wengi sana.
Wanatulazimisha tujadili mapenzi na na umbeya ila ukiweka kitu ukagusa maslahi ya mtu fulahi...
Religion is an opium of the Masses;
Do you have a religion,do you worship,do you pray?
In your opinion is prayer,subjective or objective.Is prayer externalized or internalized.In praying,are we...
Kwa ridhaa yangu mwenyewe, leo siku ya Alhamisi tarehe 11 ya mwezi januari nimeanua rasmi kutangaza nia yangu ya dhati ya kutoka CCM na kujiunga na TLP.[emoji35][emoji57]
Mvua hizi jaman
Ukipanda Januari 2018 unavuna Octoba 2018
Tujitahidi Jamaani
Team Mapacha Vepe?!
Team kujigijigi speed ngap mpo?
Team kusimamia ukucha niaaaajeee?
Enzi hizo sie wakongwe humu miaka ya 2010, 11, 12, 13, 14, 15. Kulikua na members ambao walikua wanaongoza kwa comments za vichekesho na kutukana..
Watu kama Asprin, Malaria Sugu, MO11, CHAI...
Kwanza poleni na majukumu ya kila siku ndugu!
Mnamo mwaka jana mwezi wa 6 nilikutana na binti mmoja kimwili na ilikuwa bila kinga (tulisex dak 3-5).
Baada ya hapo nikajikuta sina amani na...
Mambo yako;
Najua title inavutia ila kabla sijakupa ubuyu nikuchane live kuwa mafanikio hayaji bila,mipango na bidii.
Mambo ya kwanza kwanza!!,kwa mwanamke njia rahisi zaidi ila sio kbaisa ya...
Habari za kazi Wakuu......
Kama Kichwa cha habari hapo juu huu Uzi ni wa kupeana hongera ya siku za kuzaliwa kwa tarehe zote mwaka mzima.
Leo tunaanza na mimi nawakaribisha wote mliopo Dodoma...
Kipindi cha mwaka 1988 Bwana Sharifu Mikidadi Matongo aliletwa Mtaani kwetu Kilima, nyihogo hapa wilayani Kahama, akitokea Shinyanga. Alifikia kwa MAMA HINDU, Wakati huo wote tulikuwa watoto...
Leo nimechukua shati la kijeshi la braza na suruali ya kawaida nimetinga nikapita maeneo ya jeshini naona wameniita wakaniuliza we hilo si shati la kijeshi?
Mbona Wew umevaa kwani wewe ni...
Hii ni kutoka vyanzo vya kuaminika.Baada ya huyu ndugu yetu kuishi maisha ya ubachelor miaka mingi sasa kaamua kufanya kweli.Harusi mapema mwakani
Le Mutuz akiwa na Mbebez wake.Yaani wanapendana...
Wakuu...
Kwa kuangalia AVATAR, hoja/mada na namna ya uchangiaji wa mwana JF mmoja mmoja; unaweza kusema huyu atakuwa mzee wa miaka kadhaa, binti mbichi kabisa, kijana au mtu mzima wa umri huu...
Wazoefu jitokezeni mnisaidie ktk hili.
Nahitaji kwenda Zanzibar weekend hii kubadili upepo ila hii ni mara yangu ya kwanza kwenda Zanzibar.
Nahitaji kujua yafuatayo;
Kubook bot za asubuhi nipo...
To My Dearest Wife,During the past year, I have attempted to make love to you 365 times. I have succeeded 36 times, which is an average of only once every 10 days. The following is a list of why I...
wakuu.
hili sio mzaha kabisa maana manyanyaso yamezidi,
tuungane na kumchagua rais wetu ambae ataweza kutetea maslahi yetu mbele ya jamii kwa mfano kuuelezea umma athari yetu kuoga maji ya baridi...
Jamaa: Hello mrembo, samahani, una mpenzi?
Binti: Hapana. Sina mpenzi.
Jamaa: Kitabu cha Mwanzo 2: 18 "Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye."...
UKIENDA SHELI UTAKUTA WAMEANDIKA tangazo
SWITCH OFF MOBILE PHONE [emoji726]
Hapo hapo utakuta tangazo_lingine limeandikwa
LIPA KWA M-PESA
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] bongo...
Habari Bandugu!
Huyu msanii nimekuwa nikimfikilia sana, kiukwel amekuwa akiukonga moyo wangu,
Simu yangu imeshehen picha zake mtupu, nimemtafuta siku nyingi sana bila mafanikio,
Ila Mungu sio...
Habar za leo wanajukwaa,
Straight 4ward to the topic; naomba leo tufanye ku-share tabia au vituko vya wauza nyama wote Tanzania nzima...,lkn mm nitaelezea vituko vya wauza nyama wa Dar kwa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.