*Ushawahi mpenda jirani yako hadi ukisikia sauti yake unatoka nje kuanika nguo chafu*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]?
Eti kanipa limbwata! Limbwata?, kanipa limbwata wakati tumekubaliana niwe nachomeka usiku naye anachomoa asubuhi?
Kwani kuna shida gani iwapo mimi nachomeka na yeye mke wangu anachomoa Net ya...
Huyu member alikuwa anaanzisha sana nyuzi hapa kwenye jukwaa la siasa,nakumbuka uzi wake mmoja ulishawahi kujibiwa na waziri wa mambo ya ndani Mh.Mwiguru Nchemba.nadhani ule ulikuwa ni uzi wake wa...
MADAKTARI KWELI HUONA VITUKO
Jamaa ana tatizo kaingia kwa Daktari ikawa kama ifuatavyo,,
Jamaa: Dokta nina tatizo huku sirini,
Daktari : Hebu vua nguo tuone,
Jamaa: sawa navua ila naomba...
Habali wakuu mimi ni kijana wa miaka 25 sina mke wala mtoto lakin natafuta umarufu kwa hali na mali sasa nifanyeje ili niwe maarufu lakin sitak umarufu wa mda mfupi kama wa saed kubenea nataka...
Ni maneno ya manzi fulan kutoka pande hizi za mitaa ya uzunguni hapa dom, kwanza yaan juz nilikutana naye nikamusalimia tu fresh naye akanisalimu bila kinyongo sikusita kichukua namba, mtoto wa...
Kama uzi uliopita nilieleza kuwa mwaka 2016 (Miezi 18 iliyopita) katikati nilishawahi sex bila condom na mwanamke HIV POSITIVE, Basi mimi nikajua ndo basi, watu wakanitia Moyo ila sikuwa na...
Habari wakuu,
Katika pitapita zetu za maisha tumejikuta tukienda sehemu mbalimbali kulingana na sababu mbalimbali ikiwamo masomoni,kazini,biashara, utalii nk nk
Kuna wengine wamefanikiwa kuvuka...
Baada ya kupotea kidgo na kukuta kuna ka mtindo ka kutoa list sasa nmeamua kuja na list ya wanawake wenye mvuto humu ndani
Ambao kila mwanaume anatamani kuwa nao hawa wafuatao ni warembo haswa hii...
Habari zenu wakuu
Hayawi hayawi sasa yamekuwa,
Ivi mbona kila mtu nikiangalia Post zake naona kama hakuna wenzangu humu?
Yaani kila mtu utaskia "nilienda na gari sehemu fualani...
Mara mwingine...
Kwa miaka kadhaa ndugu Nyani Ngabu au( a boy from USA [emoji631] ) kama anavyojiita mwenyewe amekuwa ni mtu maarufu humu jukwaani haswa kwa mbwembwe zake za kuongea kiingereza cha ndani zaidi...
Story yoyote inayoletwa na mwanamke humu ndani, utakuta anatoa mazingira ya maisha safi, kama anakula hotelini, beach fulani hivi za kifahari.
Kwanini utoe mfano wa maisha ambao unatenga jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.