Habari Zenu Wazee hakika leo ninayo Masikitiko makubwa sana baada ya kutambua uhalisia wa ulesemo kuwa kila anaeua kwa upanga nae huuwawa kwa upanga vilevile.
Wakuu nimekuwa nikishare na nyie...
Hiki ni kilikuwa kinaitwa Chama Cha Chabo Tanzania(CCCT)
Sisi wapiga CHABO tulikuwa hatupati "A" wala "B" na tulikuwa hatuna shida nazo aisee..
Sisi tulikuwa tunatafuta "C" tu hahahah
Tulikuwa...
Mwaka mpya wa 2018 na mambo mapya
Demiss hapa jaman Leo Jf imenitoa ushamba kuna mtu Nataka nimfollow hapa Jf.
Nimeshindwa Jinsi ya kumfollow mtu mmoja hapa huwa ananivutia Sana Kwa nyuzi zake...
1. Freezer aina ya philips Tsh 80,000/=. Haina mlango wala mtungi wa gesi
.
2. Feni ya chini Tsh 8,000/=. Inawaka kwa machale.. yaeza kukaa hadi masaa 2 haijaanza kuzunguka
,
3. Pasi ya umeme aina...
Hi Jf Leo tukumbukie mitihani ya kwenye daladala zilizojaza sana mpaka watu wanasimama.
Mwaka Jana desemba nilitembea Dar kutoka mkoani nikafika usiku saa mbili Ubungo bus terminal.
Faster...
Ingependeza zaidi kama ingetokea siku moja wana JamiiForums wa mkoa mmoja wangeweza kukutana ili wafahamiane na kuunda kitu kama jumuia hivi kwa ajili ya kupeana kampani pind litokeapo tatizo kama...
Jana katika mapokezi ya PK baba Jargern alitokelezea . Alichoniangusha ni kucganganya lugha tu . Sasa unahusu nini kusema " Mheshimiwa Kagame atakapokuwa mwenyekiti wetu ata ya address vizuri...
1. Ukija kijiweni au pub au kwenye nyama choma acha zile stori za sijui umesoma wapi hadi wapi, sijui una madigirii mangapi. Piga stori nyingine, mbona ziko nyingi tu. Kujielezea sana shule yako...
KUNA MEMBER MMOJA HIVI AJULIKANAYE KAMA Tyta KILA POST ALIKUWA ANALETA PICHA... ALIIFANYA JF IWE TAMU.... NAONA YUPO KIMYA SANA SIKU HIZI....YUKO WAPI KWANI AU KABADILI ID
Eti kupata afya bando nayo unabeti kama biko, maisha ya bahati nasibu
1.Tatu Mzuka
2.Biko
3.PremierBet
4.MeridianBet
5.SportPesa
6.GSB
7.PrincesBet
8.MkekaBet
9.Supa Bets
10.Bet Now
11.Bet Ham...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.