JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wadada hatupendi vinywaji vikali na vyenye ladha kali au mbaya wengi tunafurahia uwepo wa savvana. Nakipenda kinywaji hiki jaman nawakaribisha wadada wa Jf muanze kutumia.
6 Reactions
168 Replies
22K Views
Unaweza mkuta member wa Jf anatumia mitandao mingine kama facebook,twiter na kwingine lakini kote huko anatumia jina lake halisi na ameweka hata baadhi ya taarifa zake wazi. lakini unapokuja...
2 Reactions
67 Replies
4K Views
Hivi inafaa kukaa muda gani baada ya kula kwa jirani ndio uondoke ili usionekane ulifuata msosi tu? Nawasilisha
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Nimetongoza demu sasa tumefikanae guest tukafanya ye2 sasa kwenye mambo ya pay nikampa kama kawaida sasa kakataa kutoa chenchi sasa nimfanyaje??
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Mara umechukua mkopo kwenye kikundi na marejeesho yamegoma wanachama wanahamua kukufuata nyumbani wanakuta hakuna mtu wanachukua uamuzi
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kike Natafuta Rafiki wa kike kubadilishana nae Mawazo awe anapenda maendeleo awe na umri kuanzia miaka 25. Mimi nipo dar.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini wakuu. Kuna mdada mmoja full fake yaani naamanisha rangi yake ni bandia, kucha bandia, shepu bandia, nywele bandia, kope bandia na sauti yake anajifanya ni Mmarekani. Alichoniudhi ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Napenda kuwataarifu kwamba msichana aliyezaliwa jioni ya tarehe 15 Januari 2000,, kuanzia leo tarehe 16 Januri 2018 ni halali kwa matumizi ya binadamu wa kiume kwa mujibu wa sheria za kimataifa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nmeingia zanzibara alasiri hii naomba sana wadada wa huku tuwasiliane.ili nipate mwenyeji anitembeze maeneo mbalimbali. Kuna maeneo nayasikia tu ila sasa nataka niyafikie na pia kuona watu wake...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Kama inavyosomeka.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama una ndugu yako amemaliza kidato cha nne na yuko nyumbani anajua kuongea na kuandika kiswahili na kiingereza kwa ufasaha Na yuko tayari kufanya kazi kwa mshahara wa laki nane (800,000/=)...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Yaani unakutana na mtoto mzuri, halafu unasikia anakusalimia eti "shikamoo ", shit!, Alaaah!, Mwingine utamsikia "shikamoo baba ". Wee tafadhali, nilikuzaa lini? Mbona tunazeeshana jamani...
6 Reactions
55 Replies
3K Views
*Hivi kwanini mafuriko hayatokei kwenye mabenki?kuna kitu nataka nikione kikielea .[emoji23][emoji23][emoji23]*
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani mentor popote ulipo tumekukumbuka, umekuwa kimya sana mkuu
1 Reactions
10 Replies
749 Views
DOMO ZEGE BANA *Manzi anakupenda balaa.. Anasubiri wewe tu umwambie ili muanze maisha matamu. Tatizo moja linajitokeza, we ni domo zege* *Unajikakamua usiku huo, unamtumia meseji kuwa unakitu...
11 Reactions
18 Replies
4K Views
*ILI KULINDA NDOA YAKO HAKIKISHA:* 1. Unaoga na mkeo; 2. Ukishindwa oga na simu yako. Siku njema
0 Reactions
0 Replies
888 Views
Leo nimesikia madogo wakipeana malani nikaona si mbaya tukjikumbusha malani kidoogo kuflash bck Naanza na ....pua kama donge la sabuni
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Washikaji eeeh Ilala, Kino, Temeke, Hawa jamaa wanakuwaga wapole sana wanavyokuja tuwapeleke K/koo, mara beach, tena wengine wakifika Coco huwa wanaonja maji ya bahari, sisi tunakausha tu...
0 Reactions
49 Replies
3K Views
Baada ya kufanya utafiti usio rasmi Leo nahitimisha kwa kusema katika nchi za East Afrika Kenya kuna mademu wakali kuliko nchi zote.Kuanzia Shepu(Chura),reception/mapokezi/sura na rangi hadimu...
1 Reactions
26 Replies
47K Views
Hii imeniacha hoi
1 Reactions
2 Replies
837 Views
Back
Top Bottom