Habari wanajamvi
Km kichwa cha habari kinavyojieleza kumekuwapo na wimbi kubwa hususani ktk nchi yetu ya Tz ya biashara ya vitu vilivyotumika almaarufu kwa kwa jina la vitu vya mtumba ama vitu...
Wakuu naomba niwashirikishe katika huu mjadala maana haka kajina Kamekua kakitumika kama silaha ya kutuathiri kisaikolojia Sisi wanaume.
Ukizinguana na demu tu kashakutangaza kwamba wewe ni...
Mambo zenu.
Leo nataka tu-chitchat kiaina ingine kabisa.
Unachotakiwa kufanya ni kumpigia kura member yeyote wa KIUME humu Jf ambae anakuvutia kwa post zake, ushauri wake, swaga zake, ambush zake...
Aziza anauza duka la dawa huko Sinza kwa wajanja. Analipwa shs 1500 kwa kutwa. Aziza ni mcheshi sana na anaimudu kazi yake.
2018 hii boss wake ameamua ampe sh 1800 kwa kutwa. Aziza ameongezewa...
Marekan police akikusimamisha ukiingiza mkono mfukon anajua unatoa gun hivyo anakupiga hands up faster
In my country polisi akikusimamisha ukiingiza mkono mfukon anaanza kutabasam sasa cjui anajua...
Sungura, panya na
Jamii zao huwa na
mwendo wa kukimbia
na kuruka muda wote
na umri wao wa kuishi
ni miaka 15.
Kobe ni mnyama mwenda pole,
asiye na papara wala
pilika, muda mwingi
hujificha na...
Mkasa wa leo hapa kwetu ni kwamba kuna kijana mtoto wa jirani (26yr) inasemekana kavuta mibange huko kijiweni maana alikuja akiwa anakokotwa kwenye baiskeli na vijana wenzake wakamshusha hapo nje...
Wakipata Mwanaume anatoa mihela kila anapozihitaji wanamuita buzi
Wakikutana na wagumu wazee wa buku mbili Wanasema Mwanaume suruali. Sasa Tufanyaje jamani
Unaambiwa utamu wa ngoma ingia ucheze mwenyewe.
Ndivyo niliyoyashudia hivi majuzi baada ya kukutana na kijibrodamen smart kwa nje but domo sijui anatatizo gani yani sio romance tu hata...
Siku nilimtembelea jamaa yangu wa kitambo huko pande za temeke. Baada ya stori mbili tatu akanichukua kutembea baa ya jirani. Mimi sikunywa ila jamaa alipiga bia kadhaa. Eneo lilikuwa la kawaida...
Haijawahi kutokea na nadhani haitatokea Deadbody nikamuhonga mwanamke zaidi ya 5000Tsh.
Mimi ni miongoni mwa wanaJF wenye msimamo mkali.
Mpaka sasa sijatoa hata 100.
Bora tu niitwe dume suruali...
Wachaga sijui nani huwa kawaroga bhana kupenda gari za hovyo hovyo za zamaniiii Escudo na RAV 4. Utakuta wamezirembaaa kama mabasi ya Upareni yenye marangirangi.
Watu wanakwenda mbele na model...
Hakuna siku inayofahamika zaid kama siku ijumaa,, hata kama ulikuwa umesahau Leo siku gani..
Kwanza ukiamka tu ukiingia WhatsApp,Facebook,Instagram unakutana na status hz
Ijumaah Kareem...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.