JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari za mwaka Jana wana jf.Ni matumaini yetu tumevuka salama tunamshukuru Mungu na wenzetu ambao hawako sawa tunawapa pole. Mwaka Jana ulikuwa na mafanikio sana Kwangu Kwani nilianzisha baadhi...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Hawa ni member waliojiunga kati ya mwaka 2006 na 2007. Baadhi yao ni Platinum member cheo ambacho wamekipewa kwa kutoa ushirikiano wa michango ya kifedha kwa ajili ya kuendeleza hii Forum tangu...
11 Reactions
133 Replies
6K Views
Mdada kaazima nguo ili akaonane na boyfriend wake hapo hapo nae boyfriend wake kaazima gari ili aonane nae hapo tunaobet tunaita both team will score[emoji23]
0 Reactions
2 Replies
848 Views
Nimejaribu kutafakari nimeona toka January 2017 mpaka December 2017 ilikuwa safari ndefu yenye milima na mabonde mengi ambayo kila mmoja wetu kwa namna moja au nyingine amepitia. Sasa kwa uzi huu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Karibu siku zinavyozidi kwenda, dunia I napata uvumbuzi mwingi sana Amepatikana mwanaume aliezaa huko nchi ni marekani Huyu hapa kwenye video muone
5 Reactions
169 Replies
33K Views
Leo nimeona niulize watz wenzangu dunia nzima wanasoma jamii forum Miaka ya 1995, nilipataga mabwashee 2, walikuwa wananipenda sana alafu wanajuana Jaman me sio malaya wala muhuni me mwanamke wa...
3 Reactions
92 Replies
10K Views
Wiku hii wakazi wa Dar es salaam mliokuwa mmekuja kula sikukuu mikoani mnaanza kurejea makwenu. Tunashukuru kwa matusi yenu kuwa sisi ni washamba, hatujui kuendesha magari wakati mmekodi magari...
2 Reactions
9 Replies
818 Views
Sifungamani na upande wowote kwenye hili la kuzum nyufa za hostel zetu pendwa na kupelekea kuwaona wahandisi wale walikuwa vyeti feki ila nafungamana na upande wa pili kutoka kwenye huu upande wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
With the new day comes...new strength and new thoughts,start where you are, use what you have do what you can.....don't watch the clock, do what it does.... Keep going, You can't cross the sea...
0 Reactions
1 Replies
385 Views
Heri ya MwakaMpya 2018 wanaJF Hivi wewe unafananiaje?? Bila shaka kila ukiona post ya member fulani humu huwa unamvutia picha anavyofanania, leo turahisishe mambo embu utuambie 'hivi...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wana members!!!na heri ya mwaka Mpya Kuna nyakati katika maisha mtu waweza kufanya jambo la kipuuzi hata bila kufikiri na ukajiona upo Sawa Hayo hutokea katika maisha Je ni kitu gani cha...
0 Reactions
11 Replies
935 Views
Tutafute ela, Kama ilivyoada poleni na yote. Naomba kushea kidogo,ni ivi kwamba nauona huu mwaka mpya#2018 unagawika kwa mbili,kwa mahesabu ya mwalim kashasha hapo au ata tuliofeli mathe ipo wazi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
I love this Story, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] A woman went shopping. At the cash counter, she opened her purse to pay. The cashier noticed a TV remote in her purse...
8 Reactions
11 Replies
3K Views
Ukienda pupa umekula nyama ya mbwa, akiwekwa kitunguu swaumu, tangawizi, ndimu, pilipili, chumvi kidogo, na chachandu, na uwe ushalewa unaleta uchu wako...umekwisha ndugu yangu!
4 Reactions
67 Replies
5K Views
Kabla ya zama hizi za smart phone kufika, kampuni ya Nokia ilitamba sana sokoni na simu zake pendwa zilizokuwa bora na imara mno. Toka enzi simu za Nokia zinatumia Infared mpk bluetooth. Simu gani...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu mambo vipi, Asee nimejikuta ninamadeni kinoma ambayo kuelekea mwaka mpya sijayamaliza. Yani unachukua loan pesa haionekani, biz znakuwa ngumu, Ase nati zinakaza balaa, Em tuleana mawazo,
1 Reactions
48 Replies
5K Views
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Mwaka ndo huo umesepa Tumeongeza miaka kazaa Kuna wengine mwaka umeisha lakin bado tunaish kwa wazazi Mwaka umeisha beira sijafanya lolote kabisa Bado naish kwa wazaz...
2 Reactions
58 Replies
4K Views
Hii inahusu wale wanaume na wanawake wanaodanga Eti bia ya kudangia hata ukiwa unakunywa unaitemea humo ama unaibusu tu chupa bado bia itaisha. 2018 kudanga sio dili
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Za jumapili Oi wanna. .. kuna shavu hapa nataka kuwapa wale mabonge ya watu... Kuna tamthilia inatengenezwa ya watu wanene a.k.a tipwatipwaz a.k.a Vibonye a.k.a tukunyemaz a.k.a Bongez a.k.a...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…