JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Miaka kadhaa siku kama ya leo ndipo nlipoiona dunia. Asante Mungu kwa zawadi hii ya Maisha Herini ya mwaka mpya 2018 jf members na heri ya siku ya kuzaliwa kwangu.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
*UJINGA NI NINI???? UJINGA NI KUMPELEKA DEMU GUEST HALAFU UNAMWAMBIA JISKIE UPO NYUMBANI* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2 Reactions
1 Replies
917 Views
*A teacher was teaching words and their opposite then he told Mutabazi to stand up and give answers !* Teacher: What is the opposite of good Mutabazi : Bad Teacher: Come Mutabazi : Go...
1 Reactions
0 Replies
771 Views
Furaha ni kitu ambacho hakishikiki. Furaha unaweza kuipata pale unapoamua wewe binafsi. Furaha hutafutwa na mhusika mwenyewe. Furaha ni utulivu ulio ndani ya nafsi ya mtu (Binadamu). Msingi wa...
2 Reactions
0 Replies
962 Views
Nduku sangu tuko habha kwa chambo mocha, Rhobi amefirwa na kaka yake usiku wa reo. Kufirwa si chambo la mcheso reo kafirwa Rhobi kesho ntafirwa mimi keshokutwa wewe, chusi Ghati arifirwa na papa...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
MWAKA MWINGINE NDIO HUO UNAKATIKA, BAADHI YA MARAFIKI ZAKO WAMEOLEWA...WEWE ENDELEA KUSEMA, "ALL MEN ARE PLAYERS." - UTAOLEWA NA REFA BASI!* Nyau wewe...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi nipo kwangu naangalia movie sijui wew mwanajukwaa upo wapi
2 Reactions
68 Replies
3K Views
Sikuamini macho yangu.. Huyu jamaa ni tajiri mkubwa mtaani petu.. Sasa kaja na gari lake mpaka dukani, mlango wa mbele ukafunguliwa akashuka binti yake kuja kuomba chenji ya elfu tano dukani ili...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Niadje wana Chit chat.. Tuambie sehemu gani utakukuta mwaka 2018 na utakuwa unafanya nini mda huo, Binafsi mwaka mpya 2018 utanikuta in my bed ndani ya PAPUCHI natafuna papuchi ya mrembo...maana...
0 Reactions
1 Replies
642 Views
Bei Ni maelewano Tu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
[emoji121] WAKUU, KASI YA NDUGU ZETU WA JINSIA YA PILI KUMIMINIKA KWA MASANGOMA KUTAFUTA LIMBWATA LA KUWAGEUZA WAUME ZAO MAZEZETA IMESHIKA HATAMU SANA KWA SASA, KWA WANANDOA NA HATA WALE...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Wanabodi na wakuu, nimepata mshtuko mkubwa sana kwa wiki moja hii baada ya xmas kumekuwa na ukimya sana wa kada maarufu wa CCM mkuu stroke na baadhi ya UVCCM wenzake humu jukwaani Naomba mwenye...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Wadau wa JF Huku Arusha mvua imeanza kunyesha muda mfupi uluopita. Naamini ni baraka za Mwaka mpya. God bless you all See you next year
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar wana JF Bora tu makao makuu yahamie Dodoma sioni raha ya kubaki Dar . Jana naingia dar nakaribishwa na mvua Umeme hakuna Joto balaa Watu wa Dar karibuni mkoani mpate raha Kwanza sisi...
5 Reactions
85 Replies
5K Views
Hello wadau. Kuna ka mjadala ka zito sana kanaendelea kimya kimya kati ya nani mkali zaidi 'KIAKILI' kizazi cha 1961 hadi 1980 Vs 1981 hadi 2000+ ?
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Kwanza unaepuka inzi wale waomba bia maana wanaogopa wakuomba bia wapembeni wataona Pili kwakua Upo peke yako basi counter anakupa kampeni kwa story ikiwa eneo uliopo halina watu wengi Tatu na...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu Hbr za Week-end...!!!!???. Km Kichwa kinavyosomeka, Ktk Mikoa yote ya Tanzania, Mkoa Wa Mbeya nimetokea Kuupenda Kuliko Mikoa mingine Kwasababu kadhaa, Ya Kwanza ikiwa ni Gharama ndogo za...
7 Reactions
93 Replies
16K Views
Naona mwaka huu Xmas na New Year wishes zinakuja kwa mtindo wa video clips. Kunachoboa video hio hio unatumiwa na watu hata 20! Mimi wala sipotezi bundle langu kufungua wala kujibu naipita tu...
4 Reactions
45 Replies
3K Views
1 Reactions
1 Replies
819 Views
Ivi.kati ya mamba n kiboko nani kiboko
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom