Kesi ya askofu kakobe na TRA itakavyokuwa mahakamani.
WAKILI---- Shahidi wewe ni afisa wa TRA?
SHAHIDI ---Ndiyo.
WAKILI---Ni kitu gani kilifanya muanze kufuatilia ulipaji kodi wa askofu...
Yule billionaire wa nyumba za lugumi ametangaza kuhamishia makazi yake nchini Marekani.. Ameyasema hayo wakati akiongea na East Africa Television kwenye kipindi cha weekend breakfast..
Wakuu niko nje ya mkoa kikaz,xmass nilirud kwangu ila boxing day faasta nikarud huo mkoa niliokuepo,sasa speed ya kurud huku fasta hiv ni jus kuna mdada near hii sehem ninayokaa huku,yaan anamvuto...
Mnakumbuka kile kitabu cha Harry Porter, basi you know who alikutana na dada kisura na walipata mtoto.
You know who is a new daddy. Ki sheria apewe wiki mbili za paternity leave ili abound na mtoto.
Niwatakie maandalizi mema na baraka tele members wote wa Jf, katika kuukaribisha mwaka mpya wa 2018, na kuuaga mwaka 2017 kwa amani tele mwenyezi mungu atubariki sote kwa pamoja, kama yupo yoyote...
Hizi quotes sijui zinauchawi maana kila nikipata changamoto..ugumu wowote..hua nazisoma then nainuka kivingine ..haya da 2017 yan ndo kameisha..OK tupeane quote za kuagia ..naanza " hardwork...
TIARAEI: Askofu Kakobe tunataka kujua utajiri wako uliupataje.
Kakobe: Kwa Yesu.
TIARAEI: Umesema una hela nyingi sana.
Kakobe: Ndiyo
TIARAEI: Umezihifadhi benki gani?
Kakobe: Kwa Baba...
Kwani wanatuchukuliaje? Maana kila tukio lililoshindwa kukamilishwa na Mwanaume Fulani utasikia ooo..wanaume wa dar ndio wameshindwa,akitotokea mtu muoga,mwenye udhaifu anaitwa mwanaume wa...
Binafsi ni mpenzi wa hizo muvi.
Takriban miaka saba mfululizo naangalia hizi muvi, awali nlikuwa nanunua Cd, BT kw sasa kutokana na Mitandao kuimarika kiasi fulan Naingia YouTube na kujichagulia...
Mpendwa
Najua wote tunataka mafanikio na leo nataka niwashirikishe siri ndogo ya furaha kwa mwaka 2018
Mwaka unaenda kufika mwisho na kwa kuwa ninakujali napenda kukushirikisha ya kufanya ndani...
Mpendwa
Najua wote tunataka mafanikio na leo nataka niwashirikishe siri ndogo ya furaha kwa mwaka 2018
Mwaka unaenda kufika mwisho na kwa kuwa ninakujali napenda kukushirikisha ya kufanya ndani...
Tafadhali mwenye uelewa mpana kuhusu hii health care field.......kuhusiana na future prosperity yake katika nnchi yetu,nnchi za wenzetu ambazo zipo vizuri katika field hii,katika...
Kwangu jamaa alikua anaitwa fadhili alikua form 4 wakati huo nipo form 1 ilikua kila asubuhi lazima tumpe shikamoo mida ya asembo alikua akienda kutoa morning speech kwa utani sasa form one tukawa...
Upo kwenye daladala kuna sehemu labda unaelekea katika mihangaiko yako ya kila siku, unapofika sehemu husika unashuka na kuanza kutembea, katikati ya safari yako ukiwa huna hili wala lile...
Iv jaman tungekua tunachukua maamuzi ya kuoa au kuolewa kutokana na namba za mwisho za simu zetu... Je wewe ungekuwa unaoa au kuolewa na umri gani kutokana na namba yako ya mwisho ya simu
Leo nawaonya nyie mazee mnaonyatia madem wa watu mnazuga na interview, kumbe ndo Gia ya kuwatongoza kwanza interview zenyewe hamjui mnauliza maswali ya kindezi tu yaan nye darasani ndo wale...
UKWELI MCHUNGU
Hakuna chochote katika maisha cha kupigania!
Nguo zako zile bora kabisa kuna mtu kwake ni matambara tu.
Akiba yako kwenye akaunti ya Benki ni sawa na mchango wa mtu katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.