JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
As a tittle said...ni nani unaemchukia katika hili jukwaa yan ambae hata ukiona comment yake unahis kukerekwa,me binafsi namchukia huyu anajiita #Ummesh hata sijui kwann but nmetokea tu kukereka nae.
1 Reactions
71 Replies
3K Views
Merry Christmas in advance to all JF members. Kabla mwaka haujaisha,nimeona itakua vizuri zaidi niki share ka ujuzi kadogo kama asante ya kuuona mwezi december 2017 wa kusaka na ku upload picha...
13 Reactions
51 Replies
14K Views
Wanaume wenzangu mwanamke anatakiwa alindwee kama mswaki wako hakikisha hautumiwi na MTU mwinginee[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] Hapo wanawake...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Tarehe kama ya leo miaka 27 iliyopita kwa mapenzi ya Mungu nililetwa hapa duniani. Pamoja na mambo mengine, namshukuru Mungu kwa kuendelea kunipa afya njema na kuhimili changamoto mbalimbali...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Tutafute ela, Kama ilivyo ada wanajopo tupeane laini laini za ndugu zetu hawa"high price life"watoto wakishua.. Kiukweli ukitaka usiwe na stress jaribu kukaa nao hawa, wana-exposure sana anaweza...
9 Reactions
65 Replies
10K Views
Habari ndugu wana JF natumaini mpo poaa hasa katika kipindi hichi tukisubiri kuupokea mwaka mpya 2018 kwa uweza wa Mungu aliejuu.. Kiukweli 2017 ulikuwa mwaka wenye mambo mengi lakini kila mmoja...
0 Reactions
14 Replies
982 Views
Jaman sehemu zote za starehe nilizopita Dar wanaume wote wa Dar wanakunywa vibia vidogo dogo vya 1500. Kama vile serengeti lite ,serengeti ndogo ,safar ndogo,kilimanjaro ndogo ,castel lager ndogo...
13 Reactions
93 Replies
17K Views
January-Chuma Kinachaji Betri February Mapenzi Mubasharaaaaa[emoji7] List ya wauza unga✍️ March Bashite Nape OUT[emoji117] April Naliamsha Dude Roma ametekwa na kupatikana akiwa salama...
0 Reactions
0 Replies
733 Views
JF ni ngumu watu ni anonymous! HAWAJULIKANI! Instagram ubishoo na showoff za kumwaga! Hakuna realistic.. Yaani hakuna ukweli... Badoo ni biashara ya umalaya ushoga na usagaji... Facebook pekee...
24 Reactions
70 Replies
7K Views
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar wana Jf? Tupende vya kwetu jamani watanzania huwa hatupendi vya kwetu Made in tanzania Tunapokea Oda wale wa mikoani tunatuma pia Bei TZS 3,000 tu. Mzigo upo wakutosha. atakae...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za sikukuuu wapendwa, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 nimezaliwa ktk familia ya kawaida tu hapa tz tangu nipo ktk umri mdogo nimekuwa nikiota na kukumbuka mambo mengi ambayo...
2 Reactions
119 Replies
9K Views
Salama wakuu, Ni hofu yangu tu nipo njiani kurudi nikitokea mgombani... Nimekutana na washkaji kibao ambao sio wachaga lakini naona swaga la kwenda kwetu kila krismas limewabamba. Pamoja na hayo...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Wajuvi wa hili wahini kabla #Ngwini# hawajachafua uzi huu kwani wao kila kitu ni povu tuu. Direct to the point; Tumekuwa tukiaminishwa yakuwa mwaka una siku 365 na robo, swali ni je katika...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Huku mbeya Leo mvua imenyesha sana lakini naogopa kuelezea mambo mengine yaliyoambatana na mvua hii kwakuwa sina TAKWIMU
1 Reactions
7 Replies
701 Views
Jana kuna chaliii alikunywa k vant na kuvuta bang kwa mara ya kwanza yaani alitupa shidaa kinomaaa...baada ya kulewaaa....alitoka nduki kinomaaaaa....ikawa kazi ni...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Tutafute ela, Kama ilivyo ada wanajopo pamoja na vyuma kuwa kigezo cha kuendelea kuuza nyago au kuwafanya watu baadhi wadange hapa mjini na kwingineko,sio siri mziki tunaufeel kulingana na...
0 Reactions
0 Replies
424 Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Mwaka ndo hivyo umeisha wazee, kila mwaka huwa kuna mkali wake Kwa sisi wana jf wakongwe tunaijua fresh jf...
3 Reactions
99 Replies
6K Views
Niliimiss Jamii Forum na wanachama wake aiseeh...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Back
Top Bottom