JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo trh 26/12/2017 Imekuwa ni siku ya huzuni kwetu baada ya ndg Jeremiah Mrimi wa kijiji cha Kenokwi kata ya Mosongo Kuuwawa na Tembo usiku wa kuamkia Krismas. Huyu ni ndugu na Diwani wa kata ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
*CHEKA KIDOGO Wachungaji watatu walikutana kwa siri na kuelezana matatizo yao ili waweze kuombeana. MCHUNGAJI WA KWANZA: mimi tatizo langu ni wizi, kila nikimaliza ibada lazima niibe pesa za...
14 Reactions
36 Replies
6K Views
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jana nikiwa nimetulia home kuna sister mmoja jirani yetu alinipigia simu mida ya tano.Nilivyoenda akawa anaongea vitu sivielewi hanyooshi vizuri maelezo nikamsoma psychologically anataka company...
4 Reactions
11 Replies
880 Views
Wana Forum; Mniwie radhi kwani si kawaida yangu kutembelea jukwaa hili la wapwa na mabinamu lakini leo imenilazimu . . . . Ashakum si matusi . . . Nikiwa ofisini katika kazi zangu za kawaida...
7 Reactions
750 Replies
228K Views
Habari ya sikukuuu wapenda, kma kinavyojieleza hapo juu. Nilikuwa namfuatilia mrembo kwa zaid ya miez 4 siku hiyo akanikubalia kunipa hayo mambo, sasa tulipanga kwenda guest. Nilichokumbuka cha...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Picha za pilau la mwaka Jana tunazo.. Sasa kua makini na Picha Zako!!
10 Reactions
113 Replies
6K Views
Salute, Namshukuru mungu, leo kwa mara ya kwanza nimeanza kupokea notifications kutoka jamii forums. Hili tatizo limenitokea tokea December 2017 , leo hii saa 4:06 asubuhi nimepokea...
4 Reactions
10 Replies
919 Views
Leo katika kusheherekea sikukuu ya Krismasi nimeamua kufika Mwanza ili nipate Sangara na Sato nitakuwa hapa Malaika Beach kama kuna mtu maeneo hayo naomba tuonane tubadilishane mawazo.
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakati enzi hizo napata kinywaji uwezo wangu ilikuwa bia chini ya kumi Na sidhani kama nimewahi fikisha hizo bia kumi.Na Bia zangu nilizokuwa nakunywa ni zile ambazo gharama yake kwa bia Moja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Aman iwe nanyi watu wa mungu Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu Toka niachane na demu wangu mwaka jana mwez kama huu nimekuwa nikisaka mtoto mwingine wa kuwa naye bila mafanikio...
5 Reactions
88 Replies
6K Views
Tang nikiwa mdgo miaka imekuwa ikipewa majina naomba kujuzwa mbatizaji huwa ni nani? .je anasifa gani? Je anatumiaga sifa gan kutoa jina kwa kila mwaka? Naomba wajuzi wa haya mambo!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii ni kwa nia njema tu ya kutaka tupeane eksipiriensi ya kutongoza wanawake mijeda hasa wakiwa kwenye zile gwanda zao zile. Ni jana tu, Nimeshuka zangu kwenye daladala mitaa ya Survey, nikaingia...
12 Reactions
54 Replies
7K Views
Watu wanasema vyuma vimekaza huku wenzetu wakihama miji kwa mijigari kwenda kuserebuka msimu huu wa x mass
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Moja kwa moja kwenye hoja kuntu,kuna utaratibu hufanywa na wenye dhamana ya kumfanyia upasuaji wa kichwa na kutoa ubongo pale inapotokea mtu kaaga dunia ambayo haiambatani na kuumwa.Mfano...
0 Reactions
4 Replies
922 Views
Eti nimeingia fb namkuta mtu anauliza eti jamani napika pilau nikishaweka mahindi naweka nini tena arafu walio like 2000 walio comments 764 sasa hivi niakili kweli au na wewe upo hivyo?
5 Reactions
44 Replies
5K Views
Uzalendo umenishinda kwa huyu binti ambaye ni Traffic ambaye namuona mara kadhaa kwenye mataa ya chang'ombe karibu na Serengeti ana sifa kumi za uzuri zaidi ya alizotaja O-ten imebidi niseme tuu...
9 Reactions
65 Replies
48K Views
Yaan ule usemi wa kuwa ni bora kuzaliwa mbwa ulaya kuliko kuzaliwa binadam bongo yaan bongo kila nnacho kifanya kwangu kigum nimesoma Nursing ajira zikatoka sikubahatika kwangu kuchaguliwa basi...
0 Reactions
10 Replies
931 Views
Swayy in the morning no yawning, just chilling nah bleming no criticism Hypes are chances real no tel out like show room selling out, Real recognize real making alternatives no talk bout events...
0 Reactions
3 Replies
522 Views
Back
Top Bottom