Tunaomba serikali itekeleze mambo yafuatayo 2018
1.Mimba iwe miezi minne baada ya miez 9 maana wamechoka kubeba[emoji12] [emoji12] [emoji12]
2.vocha ziuzwe mia 4 na mia 9 ili tupate mia za...
Wadau mambo vipi,eti kati ya mwanaume na mwanamke ni nani ambaye akiwa uchi mbele ya umati wa watu anapendeza kwa muonekano wa kila kitu?,yaani kiasi aibu ya mmojawapo inaweza kuwa ndogo kuliko...
KUNA KITU HUWA NAJIULIZA KUNA MUDA UNAMKUTA MTU ANAKUOMBA MSAMAHAA OHOO NISAMEHE SITARUDIA TENA.
KUNA WAKATI UNAFIKA MTU UNAMKATAZA MTU USIFANYE JAMBO FLANI LAKINI HASIKIII UNAMKATAZA JAMBO...
*Habari wandugu*
Siku ya mkesha wa mwaka mpya natajia kufanya sherehe ndogo nymbani kwangu vyakula na vinywaji vyote vitakuwepo, hivyo basi kama una nafasi na wewe fanya yako nyumbani kwako na...
Moja ya vitu vinavyosumbua akri yangu ni kumbukumbu ya hela nilizohonga miaka 2 iliyopita mara laki Mara 50k ,vp mwanaume wenzangu hili tatzo ni la wote au ni Mimi tu?
Haiwezi ikawa ni kubahatisha,
Sehemu kubwa ya msiokuwa Waislam
(Wengi wenu)
Ni wabinafsi, wachoyo,
Hamna haya na Mnapata dhambi linapokuja swala la kushereheka na marafiki pamoja na majirani...
1) Gari la kuvutwa
halina overtake
2) Kisigino hakikakai
mbele
3) Wimbo wa taifa
haupigwi disko
4) Feni haiwashwi
beach
5) Mshikaki hauchomwi
kwa jiko la gesi
6) Mganga haagizi
tembele
7) Hata...
Katika kutafuta huduma za jamii, baada ya nenda huku nenda kule nyingi, nilipewa barua inayihitaji mhuri na sahihi ya boss ili kumaliza mjadala.
Boss huyu anapatikana wizara flani, nika tinga...
[emoji121]
LOOK HERE GUYS.
WELL,
I SOMETIMES TEND TO DROBTACLANATE THE EXISTING WIND,
WHILE DUMPISHING THE SYMPOSIUM AROUND AT THE SAME TIME.
EPLIDWISHING SO- NECESSITATES THE EXISTANCE OF...
Wadau JF,
Nimeona niandae thread maalum kwa wanaopenda kuibariki Israel tu. Nina imani hili ndiyo taifa teule La Mungu. Bila Kupoteza muda maana watu wamekuwa wakipigizana makelele yasiyokuwa na...
Kama swali linavyouliza hapo juu
Nashangaa mtu hanywi pombe Lakini anadiriki kuichukia na kumsema vibaya mnywaji
Hapa duniani kila mtu ana starehe yake ,kuna wapenda mademu,kuna wapenda...
Nina jamaa yangu yeye ana bahati sana na wanawake wanaoitwa Marry, yaani akikutana na mwanamke wa jina hilo huwa hatumii nguvu wala nini.
Wakati huo huo, yupo mwingine yeye akikutana na mwanamke...
Pale ulipoanza kujisajili hapa JF naamini kuna ID ulitaka uitumie kukutambulisha wewe lakini ukaambiwa tayari inatumika na mtu mwingine. Je ni ID gani uliitamani ujiunge nayo lakn ikashindikana na...
Binafsi nime enjoy sana kuwa pamoja na wanajf wote. Naomba radhi kwa wachache tuliopishana kiswahili na nawatakia heri na fanaka katika mwaka 2018,bila kujali itikadi...
Wana jf,
Katika kufurahia sikukuu hii Leo,naona ni vema basi ukatupia comment ukimention jina la member yeyote kumtakia heri ya sikukuu hii ya Leo.
Napenda kuwatakia wote kheri na fanaka ya...
[emoji746]Maneno ya Mademu na maana zake halisi[emoji746]
*Nisalimie ma mkwe jaman*= Demu wa dizaini hii ni mcheshi,anajiamini, ni mama bora wa badae,ana hofu na Mungu ila usikimbilie...
[emoji121]
Wakuu,
Kutokana na necha ya kazi yetu ya uwakala tunatakiwa kuwa kibandani muda mwingi sana ili kusuburia wateja na kujihakikishia miamala ili bosi afurahi.
Na hivyo ni ngumu sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.