Madaktari wawili walienda kwenye mazishi ya daktari mwenzao ambaye alikua ni Dr Bingwa wa Moyo,
kwa kutambua na kuheshimu mchango wake kwenye idara ya Moyo, Hospitali aliyokua anafanyia kazi...
Hapa namuona,
Mosha
Mushi
Munuo
Munisi pia alikuwepo
Pale nimemuona
Masawe na
Masuwe pia alikuwepo
Kule barabarani amepita
Hipolity
Moromboo
Samboro
Gerady pia kaja na boxer
Uuwi naona hawa...
Wanajf heri ya krismasi wale wenzetu.Nawakilisha.Juzi tarehe 20/12/17 nilikuwa nasafiri kutoka Dar kuja Arusha,mbali na usumbufu wa kupata ticket na changamoto nyingine nyingi za safari kuna kitu...
Habari zenu wakuu hivi ni jukwaa gani hapa jf unapendelea sana kulipitia kuliko mengine naanza na mimi napendelea sana kupitia jukwaa la International. Na habari na hoja mchanganyiko weka na ww yako
Habari wana jamii forum,wakati tukiendelea kuhitimisha mwaka 2017 hivi ni misemo gani ,au watu au Vitu vilivyo heat mwaka 2017? Mimi naanza na "expansion joint"
Utakubaliana na mimi kuwa mwezi December ndiyo mwezi ambao watu wengi huzaliwa duniani.
Hii inatokana na ukweli kwamba, mwezi huu ni wa kihistoria wa kuzaliwa kwake Yesu Kristo aliyezaliwa na...
Aisee wanafunzi wa mikoani ni strong na ni smart sana darasani tofauti na hawa wa dar, u Mamy ,Dady bye mwingi kweli,kifupi umayai umewazidi...
Cheki Toto mbeya hili
Mimi mada zilizonivutia mpaka nikajiunga humu JF ni kuhusu mambo ya vyuo
Nilikuwa naona kupita kimya kimya bila kuchangia chochote napitwa na mambo mengi ndipo hapo nikaaamua kujiunga humu ...
Wana jamvi kwema humu? Natumaini wote wazima.
Ni hivi kuna kituko kimoja kimetokea (i don't mean to offend anyone kama itakugusa,ila jifunze).
Juzi kati iliingia Pm,maserati mambo? Mie nikajibu...
Tunaelekea kumaliza mwaka wapendwa baadhi tukiwa salama, wengine wakiwa na upungufu wa viungo na wengine hatunao kabisa. Hatuna budi kushukuru.
Mada yangu ni kuhusu mambo yaliyonichefua...
Rafiki yangu mkolomije aliniambia hii habari,nami nimeshindwa kuisahau.
Eti kila siku tunapojazana kanisani tunamwabudu Mungu wa Ibrahim na akifurahi anawabariki watu wake huko kwao. Tukienda...
Na xmass hii ndo kabsaa ataniua,.Vyuma vimekaza watoto wakike sjui kwann hawaelew kabsaaa,yaan yeye anafosi kuspend...hiv huyu ananipenda au ananitumia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.