JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
pombe tunakunywa kwa starehe. ila kina mda matatizo. sasa kama mimi siwezi lala bila kugida. nipolewa nitaona mpk marehemu wachawi misitu na wanyama wakutisha.tuambie yako
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa mliokuwa kanisan siku yajumapili naona mh mmja ameshawajuza kilichoendelea anyway jf wajiiiiiiiiiiinga...waandishi wa habari wajiiiiiiiinga yaani akushia hapo...nanniiiiiiiiiinaooooooooo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mwaka huu umepita kama kivuli aseee mwaka umekuwa mfupi Sana matukio kibao dah ahsante mungu nimeupita salama naamin mwaka kesho nitafanya mengi makubwa mungu atakayonibariki. Tar kama ya Leo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Asubuhi hii nimeenda kununua vitafunwa vya kunywea Chai yaliyonifika si madogo kati kati ya kitafunwa nimekutana na nywele.Hapa nimekaa nawaza nywele hii ni nywele ya wapi kichwani,kwapani ,au ni...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu, Amani iwe nanyi!! Nimekuwepo Kilimanjaro kuanzia mwanzoni mwa Mwezi huu wa December. Na bahati nzuri nimeyaona maisha ya kijamii kabisa ya wachagga... Nchi yetu raia wanalalamika sana kuwa...
20 Reactions
401 Replies
34K Views
Nimefurahi kuruditena jamvini niaje humu mpo fureshi kabisa!!!
0 Reactions
8 Replies
839 Views
Sasaivi kila kona mtaani na mtandaoni ukisema mambo magumu unaambiwa weka grisi weka grisi imekuwa habari mbadala wa vyuma kukaza sasa utaeza weka grisi kwa sehemu kama hii kweli??
9 Reactions
23 Replies
4K Views
Wadau nisaidie majibu tafadhari 1:Ni upi umri sahihi wa kutoka nyumbani kwa wazazi (Kwenda kujitegemea)... 2: Ni upi umri sahihi unaofaa na kupendeza ikiwa mtu anataka kufanya maamuzi ya KUOA...
0 Reactions
2 Replies
766 Views
Wakuu Mimi kwakweli bila 30 mfukoni, ata kama naenda wapi sina raha, hata kama sina kazi nazo ila najisikia kujiamini sana
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Hela ni kama ukimwi Kila MTU anasema sina
0 Reactions
5 Replies
786 Views
Aman iwe nannyi wapendwa Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Mwaka ndo umesepa mazee hivyo hatuna bud kuuaga na kukaribisha mwaka mwingine mpya Kama ilivyo kwa miaka mingine matukio...
2 Reactions
11 Replies
843 Views
Umofia kwenu jukwaani. Niende kwenye mada hapo juu. Miaka ya nyuma alikuwepo mwanamama Hawa ambaye alikuwa dereva wa basi jijini Dar. Anadaiwa kuwa mwanamke wa kwanza kuendesha basi la abiria...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyosema hapo juu naomba tumalize huu utata na tumalize ubishi kuhusu haya majiji makubwa mawili dunian yaan PARIS NA NEW YORK...
1 Reactions
39 Replies
10K Views
Naikumbukaga sana nickname yangu jaman enzi hizo nipo form 3 nilianza kujiita YOUNG SINGLE n FREE!(Y.S.F)lilivuma sanaaaa! had kwenye daftar la teacher zwazwa unaandika tu sema masomo ya teacher...
10 Reactions
309 Replies
18K Views
wakuu. habari ya kwenu uzi huu ni maalumu leo tunakata mzizi wa fitna nani mchapa kazi kati ya wanaume wa Dar na wale wa mikoani maana kumekua na vijembe visivyoisha. kila mmoja ataje mtazamo wake...
3 Reactions
55 Replies
3K Views
Kama utani vile. Mtu nimemtia ndani. Mm namwambia anilipe pesa yangu anasema vyuma vimekaza. Sasa hapo hapo ndo nikapata sababu ya kumtia ndani. Ataniambiaje mimi vyuma vimekaza ilhali mkulu katoa...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Habari ndio hiyo wanaume wanaotumia mtandao huu wa jf na facebook mnaongoza kwa uchovu na hali mbaya, hasaa hawa wa jf ndio kichefuchefu maneno mengi yamewajaa lakini mifuko imetoboka na mapenzi...
2 Reactions
131 Replies
14K Views
wakuu habarini, kama kichwa cha habari hapo juu,nashawishika kuamini jiji LA dar limekaliwa kwa wingi na watu wa mikoa ya kaskazn,sababu zifuatazo 1_wakati huu wa x mass wenyej wa mikoa ya kaskzn...
6 Reactions
117 Replies
6K Views
Habari wanaMMU? Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa thread katika jukwaa hili japo sio sana lakini nimekuwa nikifuatilia comments na nyuzi za huyu dada tajwa hapo juu aisee kuna kitu kinaniambia...
0 Reactions
109 Replies
6K Views
Back
Top Bottom