JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
HAKUNA KAZI NGUMU KAMA KUJARIBU KUMUAMINISHA NYANI KUWA ASALI NI TAMU ZAIDI YA NDIZI Muaminishe sasa kwa kubofya hapa BOFYA HAPA
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habar za usiku wana JF, Jioni ya leo nikiwa natoka kazini kuelekea nyumban nikiwa na kisura chenye bashasha, baada ya kupata kahela kidogo ambacho kwa hesabu za haraka kalikuwa kananipeleka...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna huyo comedian wa kenya anajiita MCA TRICKY yaani yuko vizuri mno tena sana na anajua kuchekesha haswa, kwa sasa aina ya comedy anayoifanya iko vizur mno tofauti na hizi zetu za mara kuvaa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Vyuma kuzidi kukaza na kukazana ndo watu wanazidi kuumiza vichwa ili kuwaingiza mkenge watu wengine japo wengi tushakuwa makini make huu mwaka kila mtu anatafuta wa kumalizana nae kama mimi jamaa...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Enzi zile za utoto kule kijijini tulikuwa tunalazimishwa kuchamba kwa kuburuzika chini kwenye udongo... Yaani ulikuwa unawahi sehemu imebinuka kidogo kisha unapachika tako huku na huku...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Naomba mnipatie list za beaches zenye swimming pools na muziki kwa apa dar. Nitajieni na bei zake ,usalama ,uhakika wa usafiri na mahali zilipo
1 Reactions
40 Replies
10K Views
Kakaangu huyu simpati!
0 Reactions
5 Replies
3K Views
madenge aliulizwa na mwalimu wake;~ikiwa mwezi wa tisa unaitwa september je wa kumi unaitwaje? madenge akajibu;~mwalimu unaitwa sepchege
1 Reactions
4 Replies
2K Views
.
1 Reactions
21 Replies
2K Views
*Upo ndani ya daladala na 1.chris brown 2.rick ross 3.nicki minaj 4.beyonce 5.rihanna 6.msaga sumu Mara paap!! umeibiwa kasimu chako cha techno,utamuhis nan????*
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Amekwenda Simba?Yanga mnashidaa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huwa natamani sana watu wa jf tuanzishe jamhuri yetu tuishi huko. Naiona ikiwa ni sehemu yenye Upendo, ushirikiano,burudani na kusaidiana sana sana. #jamhuri ya watu wa jf
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Huyu mwalimu kakomolewa kweli✔ Ama Kweli Mkuki Kwa Nguruwe kwa Binadamu Mchungu Skia Hii….!!* *Ishawahi kutokea Pale nilipokutana njiani na mwalimu aliyekufundisha MATHS secondary afu akaniambia...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu. Kama mtasikia kuna mtu anauza laptop a in a ya Samsung, na inapiga kazi freshi MWACHE AUZE Mimi sina hela.
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Upo ndani ya daladala na 1.chris brown 2.rick ross 3.nicki minaj 4.beyonce 5.rihanna 6.msaga sumu Mara paap!! umeibiwa kisimu chako cha tecno,utamuhis nani hapo???? :):):):):):):):):)
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ninapenda sana kujua habari za watu, kuanzia macelebrity mpaka majirani zangu. Ninapenda kusoma habari hizo mitandaoni mpaka kwenye magazeti. Ninaweza kununua gazeti sh10,000 mradi tu nijue Oprah...
7 Reactions
47 Replies
4K Views
Andika namba ya COMMENT yako katika UZI huu. Mimi # 1
0 Reactions
18 Replies
792 Views
Naandika hii baada ya habari ya kijana mmoja jirani yetu anayefanya kazi Tanga kutangaza kwamba baba yake kamloga ndio maana maisha yake hayaendi vizuri. Niliwaza na kushangaa sana niliposikia...
0 Reactions
12 Replies
800 Views
Kwa usawa huu BABA J ,Nipo TAYARI kupotea PENZI nililonalo kuliko kupoteza AKIBA yangu iliyopo Tutiririke wakuu tukiwa na vivid example Deadbody
0 Reactions
5 Replies
909 Views
Mtaa wa Lindi na Shauri moyo kuna hiz taaa za trafic light jirani kabisa na stand hii kubwa ya mwendo kasi, cha ajabu hizi taa zinasumbua inakimbilia mwez sasa hazifanyi kazi. Sasa cha ajabu kuna...
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Back
Top Bottom