JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wanajamvi mpooo? Kweli huu mwaka utabaki kukumbukwa daima haswa kwa historia ya nchi hii. Wish me a happy Birthday please.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
*Nachojua mimi Pesa Zote Ni Za Jamhuri Ya Muungano Wa Wa Tanzania*, *asa Unaponiambia Nikutumie Pesa Ya Christmass*, *Unanipa Wakati Mgumu, Bila Shaka Hizi Zitakua Noti Mpya.....:*...
7 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani eeeh, kama kuna mtu anahitaji kujumuika na ndugu, jamaa na marafiki katika msimu huu wa sikukuu asinisahau na mimi. #kataa_kuwa_kaa #uzalendo_ni_kupeana_mialiko
0 Reactions
6 Replies
679 Views
Christmas ndo imeanza Karibu Wapendwa.
0 Reactions
1 Replies
560 Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Iv kwanini wanaume wa dar huwa wanapenda kuvaa nguo za kubana mapaja kama za dada zao wana tatizo gan Kwanini...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Ulimi ni kiungo kidogo ambacho hutusaidia kumezea chakula pia hutusaidia kutamka maneno na kuwa na mawasiliano na viumbe wengine. Ulimi ni kiungo cha muhimu sana. Ni gate kati ya yaliyo moyoni...
11 Reactions
18 Replies
4K Views
Ni moja ya siku ambazo sitazisahau maishani mwangu. Kwa mara ya kwanza niliveshwa pingu katika maisha yangu na kuswekwa rumande. Nimexperience jail life for first time na...
1 Reactions
15 Replies
851 Views
Zikiwa zimebaki siku 8 kuumaliza mwaka 2017 na kuukaribisha 2018. Tushirikishane uzi zilizo kufunza mambo mengi nakukufanya uwe na ahaaa moments katika maisha ya 2017. Baathi a nyuzi zilizo ni...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Happy bday to me
2 Reactions
7 Replies
905 Views
Aman iwe nanyi wapendwa Hili hapa ni charii ya chato town noma sana LONDON BABY
1 Reactions
1 Replies
922 Views
Stress ni pale mgeni anapokutembelea mgeni geto alafu wakati huo ndani unaakiba ya miatano unaamua kuchukua chupa mbili za soda moja unanunua Cocacola dukani af nyingine ya sprite unaweka maji ili...
0 Reactions
2 Replies
573 Views
Baada ya rais kusema kuwa kwa wananchi wa Mtwara vyuma vimelegea kwa kuwa wanafanya kazi mashambani na kuvuna korosho na hatimae kuiuza na kupata pesa nyingi kiasi cha kuwanywesha mbuzi bia...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar yuko safarini nchini China kutafutacwawekezaji. Mkuu huyo ni mgeni rasmi wa balozi Kairuki na anapewa heshima zote. Waziri wa viwanda majukumu yake ni nini kama mkuu wa mkoa...
18 Reactions
56 Replies
4K Views
Katika ibada ya jumapili iliyokuwa inafanyika kwenye kanisa la EFATA Nabii na mtume mwingira aliporomosha matusi ya nguvu kwenye ibada hiyo kwa watu wote wanaokwenda Loliondo na waandishi wa...
0 Reactions
78 Replies
13K Views
JF itakuja kuwa ni mtandao utakao ongoza kuwa na member wengi wenye. 1; HIV 2; Ndoa zisizodumu. 3; walio telekeza familia. 4; wakaidi na wasio shaurika. Hapa kuna wasomi wengi...
9 Reactions
90 Replies
5K Views
Wakuu kuna watu akili zao zinawatosha wenyewe tu, Yani kuna ndugu yangu hapa kapost picha yuko na madripu Hospital Facebook huku akiomba Aombewe huu ni ulimbukeni au? Kuna Wa mama wa makamo tu...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari Ex_panshion joint ya hii couple imepatwa na nini tena naombeni maelezo NB:Sihitaji povu
4 Reactions
63 Replies
5K Views
Jf wekeni wishes zenu kama ungekuwa president! Ingekuwaje? Lakini twendeni ki chit chat itapendeza zaidi na usitumia neno "vyuma kukaza" by any means Mimi ningekuwa rais watu wangesoma chekechea...
2 Reactions
8 Replies
819 Views
Back
Top Bottom