Hellow guys kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Natafuta marafiki wa kike wa kuweza kubadilishana nae mawazo. Sijali dini, kabila wala rangi na hata elimu.
Asanteni.
Kwann warabu walibya wana kua na roho mbaya kiasi hichi..nini chanzo ya hivi vyoteee mpaka watu weusi tuna fanywa kama wanyama,mbona wao wanaishi kama wafalme nchi zingine kama wafalme hasa Tanzania..
Eti Kale kamsemo kanakosema *Pambana na hali yako* kwa kingereza si Katakua *"cotton-and & condition of you"*
Maana kuna mzungu naona ananiletea mazoea Mabaya Hope Atanielewa tu
Habari za Asubuhi wanandugu,
Jamani iko hivi mimi hapa mwenzenu kuna sabuni au mafuta nikitumia natokwa na vichunusi/vipele flani hivi na nikitumia sabuni mf rungu/family vipele hivo huisha
Ni...
Mkuu MAGU hali ni tete nilikuwa natafuta ni mbinu gani ya kulainisha hivi vyuma vilivo kaza mkuu umesaidia sana kutujuza tutumie GILISI... sasa Mkuu MAGU vyuma vyangu vimekaza mnoooo naomba ile...
Magaidi waliingia kanisani wakawakuta waumini 150 wakiwa katika ibada. Kiongozi wa magaidi akatangaza kuwa atawaua watu 100 kati ya 150. Akaongeza kuwa atawaua kulingana na mpangilio wa majina yao...
Wajameni naombeni mnisaidie kwa kunitajia majina ya zile nyimbo maarufu za Kwaito zinazopendwa sana kwenye harusi nyingi za kibongo, nataka kuzitafuta nizi-download...
Ni muda mrefu sasa sijamsikia huyu mzee VUTA-NKUVUTE jamani yuko wapi? Au na yeye ameamua kujiuzulu kuandika habari humu ili kumuunga mkono Rais. Maana kumekuwa na wimbi la watu kuachia nafasi zao...
Wakuu Habari za usiku
Kama thread inavyosema Nahitaji Kitambulisho cha utaifa,
Nipo Dar es salaam
Je Gharama yake ni sh ngapi?
Inachukua Muda Gani Mpaka Kukipata Kitambulisho
Na Hatua za kufuata...
Wakuu habari ya Mapumziko ya mwisho wa wiki..!,basi kama uko mzima ni jambo la kumshukuru Mungu,Binafsi nahitaji msaada kwa yeyote mwenye namba ya mkurugenzi,mkuu wa shule au mwalimu yeyote...
Wassalaam!
Wakuu kwa taarifa nilizozipata hivi punde ni kuwa bei ya GREASE imepanda ghafla na pia pamoja na kuwa bei ni kubwa bidhaa hiyo imekuwa adimu sana. Taarifa zaodi zinakuja punde.
habari wadau..
mkesha wa mwaka mpya kutoka 2016 kuingia mwaka 2017...
nilikuwa na malengo makubwa sana.. na nilipanga piga ua lazima 2017 nitoboe...
niwe na biashara nzuri yangu mwenyewe...