Ni wiki sasa kuna masuala nafatilia taasisi fulan ila ukweli watu wanaringa sana wakikalia viti vya kuzunguuka
Yan ofisi ya umma mtu anasema amejipangia utaratibu wa kufanya kazi yake, kaz fuln...
Enyieee watoto wa baba jesca,mshahara utakao toka week inayokuja ndio,utakao fanikisha sherehe za Christmas,boxing day,mwaka mpya,kulipia watoto ada,Kodi ya nyumba,kushafirisha mama na baba...
Katika tembea yangu kwenye majukwaa mengi JF, moyo wangu umempenda mdada mrembo asili yake ni Tanga, lakini kwasasa hayupo Tanga.
Yupo active sana kwenye kila uzi hasa Jukwaa hili nazani...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] dah brave
Baada ya Mange kupotea hewani kama weeks 3 ivi watu wengi hasa kundi kubwa la vijana limeingiwa na wasiwasi juu ya Mange.baada ya kurudi fans wake wameingia...
Hi great thinkers hivi kwanini waganga hawaachi kuagiza Jogoo?Mimi nikiagizwa huwa sirudi.
Nawapenda wanaoagiza kuku halafu kuku namla mwenyewe wale waganga wanaomchukua kuku wanaudhi sana...
Naomba tukumbudhane maneno Na misemo ikiyotamba mwaka 2017.
Expansion joint by Elius Mwakalinga
900 itapendeza by Dr. Luis Shika
Vyuma vimekaza
Makinikia
Mpaka mwezi wa saba mtakywa mmerudi...
Sijui usiku hamlali, au mnafanya kazi sana au ni nini ttzo,
Tena mnaachia midomo duu,
mijasho chapa.
Sio wote lakini mnazinguaa
Huyu bibi wa pembeni yangu kma sio faiza foxy bahati
Mahitaji
1. Computer
2. Printer
3. Kitunguu swaumu
4. Manyoya ya kichwani ya kondoo
5. Sindano 3
6. Chumvi
7. Unga wa zaumbi uliyofungashwa kwa kipande cha kaniki
8. Mafuta ya zaituni Lita 1...
Aman iwe nanyi wapendwa
Eti kwako mdau ni mdau ni ngoma gan huwez lala pasipo kuisikia au huwez maliza week bila kuisikia
Mimi ni ngoma ya BABY JOSEPH MADAHA AMOURE hiyo ngoma ni noma sana...
2018:NINAOMBA SELIKARI ISIMAMIE YAFUATAYO.
1.Mimba Zipunguzwe Miez Badala Ya 9 Ziwe Miez 4.
2.Nauli Ya Ndege Kwenda South Afrika Iwe Bure Make Ni Mteremko.
3.Sukuma Wiki Ichunguzwe kwa Nini...
Wakuu
Leo kwenye taarifa ya habari azam tv ,kuna habari wamerusha ya mtoto wa darasa la 3 huko ruvuma kua alibakwa na kupelekea kupata mimba,
Wazazi wake wala walimu hawakugundua hilo mpaka mimba...
Amani kwenu wapendwa.
Tijivue gamba la siasa kidogo,tuweke dini pembeni kidogo,tubake wanaadamu tu. Huwezi kujiuliza huyu ni nani isipokuwa humjui huyo mtu. Katika jamii kila Nani anaweza kuwa...
Kuna ka staili hivi nakutanako nako kwa wanawake hasa wenye smartphone. Nimekaona kwa wanawake nilikua nao zaidi ya watatu.
Yani unakuta mwanamke mkizinguana anaweka picha ya kijeba kingine...
Aisee huyu binti kama yupo humu aniwie radhi ila siamini kama kuna mwanaume hamtamani kwa uzuri wake.
Najua waku diss hawakosekani ila kimoyomoyo wanajua Wema ni mashine nyingine...
Ningepata...
Wiki iliyopita nimekuwa mtu wa kuandamwa sana na paka mtu.Kila siku analialia ovyo kama mtoto aliyenyimwa maziwa na mama yake. Jumapili nikamwekea mtego wa maneno.
Usiku wa manane akaanza...