JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
My New Year *RESOLUTIONS* : 1.Drinking - *DELETED* [emoji818] 2.Partying - *DELETED* [emoji818] 3.Oversleeping - *DELETED*[emoji818] 4.Clubbing - *DELETED* [emoji818] 5.Sex - *DELETING FAILED*...
2 Reactions
2 Replies
823 Views
" kuanzia leo marufuku kuoga na vichupi mkiwa ufukweni ....Wote mnatakiwa muoge na MA JEANS" Mnatakiwa kufuata maadili yetu
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau *This is for funny* Msimu huu wa sikukuu za Xmas na mwaka mpya kuna majina mtu akikuita usikubali kuitika hata kidogo ni bora ukimbie haraka sana. 1.Mkubwa 2.Tajiri wangu 3.Kiongozi...
2 Reactions
8 Replies
969 Views
Ndugu wanajamii naombeni msaada wa vyakula visivyofaa baada ya kulewa, jan I likuw sk yang ya kwanza kunyw pombe baada ya hapo nikarudi zangu home nikakuta wf kaanda samaki na ugali, km kawaida...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wana JF. Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu. Issue Iko hivi , binafsi sina dini yoyote hapa duniani. Sasa naomba msaada. Naomba Kama mnataka niingie kwenye dini- Like huu uzi Na...
2 Reactions
88 Replies
3K Views
Karibuni wadau tutoe jibu kipi kinaongoza kuvuliwa picha hapa chini inajieleza kati ya A&B???
0 Reactions
2 Replies
510 Views
Jamani najaribu kuangalia hii kafulila style of love na mkewe Joyce kishoaa najiuliza hivi kuna Mapenzi ya kweli hapaa Hebu fikiriaa mume yupo ccm Ila mke yupo chadema lakini sasa Mke anaipinga...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Diamond Platnumz - Number One (Official Music Video HD 1080p) - YouTube cc Preta
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Hii party imekua kama utamaduni wa watu wa Jamii forums baadhi lakini kukutana sehemu kujuliana hali.Je mwaka huu 2015 itafanyika lini. cc@KakaKiiza lara 1 @ Mtambuzi Watu8 Madame B...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Ukiingia tu JF kwa wale wapenzi wa jukwaa pendwa MMU hata urefresh vipi utakutana juu na nyuzi za kuwakandia ama za kuwasema hawa watani wetu. Mnawaminya na kuwatesa bila kujua mtu anatafuta...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
je unavyo vigezo? thubutu kukutwa na millionea .pete hiyo ndo atayokuvika..imetengenezwa kwa madini ya Tsavorite green na almasi pure. pete hiyo imebuniwa paris na mbunifu mkubwa wa jewellery...
1 Reactions
58 Replies
3K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Kuna wanaume ni marofa wa kutupwa, iv inakuwaje mtoto wa kiume uliyekamilika unaanza kumufatilia mwanaume...
3 Reactions
70 Replies
4K Views
*Ndoto zingine aki ni mbaya.. Niliota nikidrive ma new Mercedes Benz alafu ikakwama kwa matope... Ikabidi niisikume.. Kuamka [emoji15] nipo na kitanda jikoni* [emoji17][emoji17][emoji17]
5 Reactions
4 Replies
2K Views
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo imekuwa new day kwa mtoto ambaye hajapewa jina ni msichana kazariwa leo,naomba munisaidie apate jina,From Oyugi Auwory republic.
1 Reactions
13 Replies
917 Views
Q: What's the difference between cricketers and condoms? A: Cricketers drop the catches and condoms catches the drops. Q: What three things are common between the sun and woman's...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Sijaelewa mpaka mida hii ; nimekaa na dada mmoja kwenye daladala wakati anateremka akanikanyaga kwa nguvu nikamuuliza vipi? Kanipa bonge ya sonyo na kuniambia nilidhani bubu mbona muda wote...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Unalalamika ndugu hawakuthamin, unahela? Unasema wadogo zako hawakuheshim, unahela? Ooh mke wangu anadharau, unahela? Umemzidi hela? Jirani zangu/ wapangaji wananiroga, je unahela? Wamefanya...
1 Reactions
2 Replies
509 Views
Nimekaa darasani miaka 15, ila sijawahi kugundua hii kitu... "NEWS PAPER" ni kifupi cha N- NORTH E- EAST W- WEST S- SOUTH P- PAST A- AND P- PRESENT E- EVENT R- EPORT #bang ya leo sijui...
0 Reactions
3 Replies
979 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…