JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
*Wadada Mna Roho Mbaya Unakutana Na Mkaka Kwenye Magahawa Anakupa Ofa Ya Supu Ya Mbuzi.. Baadae Anakupatia Nauli Ya Tax..* *Ila akikupa Namba Yake Unamsevu ''SUPU YA MBUZI*...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Najua hamna vyombo tena na mambo mengine ya kuanzia life. Kiingilio tupigeni 10000 Natarajia Wataingia watu zaidi ya 50000 Jumla mtapata zaidi ya 500,000,000/= Ukitoa kodi na matumizi kama...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Nilipokuwa A Level demu wangu alikuwa anatoka na jamaa wa chuo. Tukazinguana kila mtu akala chobis yake. Nikafika Chuo nikapata demu mwingine baada ya muda naye kazingua akawa anatoka na jamaa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Hi wadau katika pilika pilika zangu za ufugaji nimegundua jambo muhimu kuhusu nguvu za uume.Kabla ya kuwapa mifugo yangu mashudu siku za nyuma madume ya ngombe mbuzi bata hawakua na nguvu kabisa...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
*nimekaa na dada mmoja kwenye daladala wakati anateremka akanikanyaga kwa nguvu nikamuuliza vipi? Kanipa bonge ya sonyo na kuniambia nilidhani bubu mbona muda wote hujaomba hata namba ya simu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naamini ninyi ni maua, naamini dunia isingekuwa mahala pazuri pa kuishi bila nyie... Basi naomba ukaribisho wenu, only those who can arouse my intellect naamini wanaweza amsha hisia zangu na...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
KAMA BABA YANGU HANA FURAHA MIMI KUISHI KWENYE NYUMBA YAKE BASI AONDOKE ANIPISHE AKAISHI KWA BABA YAKE, MIMI NIPO KWENYE NYUMBA YA BABA YANGU BANA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
6 Replies
768 Views
Ndio ule mda unaenda kununua mkate unarudi umelewa. Na usiku unakua mrefu zaidi ya mchana. Wadau tuna list viungo vikali maeneo zote kwanzia tanga adi dar. Feel free kuandika sehem na bei zake...
1 Reactions
2 Replies
540 Views
  • Closed
Daah hata sijui niandike vipi kukuelezea naandika nafuta katika maisha kuna mazingira unaweza kukutana na mtu unajiuliza alikua wapi siku zote. Naishkuru JF kwa kunipa rafiki aliye mwema kwangu...
37 Reactions
881 Replies
45K Views
Mkuje humu acheni kujadili mambo ya wazee.
10 Reactions
175 Replies
9K Views
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Napenda kuwaambia kabisa ninyi wa mikoani ambao huwa mnakuja huku mna breath mbaya na mnanuka kikwapa. ingawa nyie mnasema ndo uanaume huo lakini nimeona leo niwaambie tu ukweli. nyie huwa...
20 Reactions
409 Replies
39K Views
Wakuu Yafuatayo ni mambo makuu ambayo naamini kabisa yatamshangaza sana kama sio kumshtua Babu Seya atakapotoka Jela. (1) Mh Freemen Mbowe bado ni Mwenyekiti wa Chadema (2) JPM "kutekeleza"...
16 Reactions
69 Replies
9K Views
habari wadau.. mimi naishi mwenyewe kwa sasa hivi.. nikipiga hesabu zangu kwa wiki natumia laki moja.. kila kitu.. nawaza kama nina matumizi ya juu sana au ya kawaida zama hizi za vyuma vimekaza
1 Reactions
14 Replies
2K Views
1. Mkubwa 2. Tajiri wangu 3. Mzito 4. Kiongozi 5. Mkurugenzi 6. Katibu 7. Boss wangu 8. Mwana 9. Gavana 10. Bingwa [emoji23] [emoji23] ongezea yako......
4 Reactions
16 Replies
2K Views
```Baada ya kunitumia SMS usiku ikawa hivi….``` _*Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text "mambo vipi?"…halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi masela wote wa jukwaan Oy niaje pande hizo makachaa Life linasomeka lakin au mizinguo Oy niaje kwa hapa sinza makinikia yanapatikana wapi Oy kwa hapa sinza cha arusha nitapata...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Tunaelekea mwisho wa mwaka ili tuingie mwaka mpya Mimi hapa sijaja kupiga porojo lengo langu ni moja tu nauomba uongoz wa jf ubadilishe jina la jf kutoka juwa jf na kuwa...
0 Reactions
55 Replies
2K Views
Harodl shuraiya jajii mmoja wamahakama ya Spain Baada ya kulazimishwa kutoa hukumu ambayo binafsi ilimchukua mwezi kukubali kutoa hukumu Baadae rufaa ilipokujaa jaji Harold akawa mmoja wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom