JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwenye TVs na radio hakuna muda napenda kama ule wa matangazo kama ni mpira au taarifa huwa nasubiria ipite nisikie/nione matangazo hasa yale yenye ubunifu. Mpenzi wa matangazo weka lililowahi...
8 Reactions
184 Replies
22K Views
Leo December 9 2017 siku ya kumbukumbu ya uhuru wa Tanzania bara.Rais wa jamhuri ya muungano ametoa msamaha kwa Wanamziki Nguza Viking Maarufu kama Babu Seya na mwanaye Papii Kocha. Hapa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mambo vipi wadau
0 Reactions
0 Replies
520 Views
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanaume wenzangu mbinu hii! # Ukigombana na mke wako na akawa ni mwenye kiburi na mwisho wa siku akakununia hata kuongea na wewe hataki, usipaniki sana. Fanya hivi; Kaza mfuniko wa chupa ya...
25 Reactions
66 Replies
5K Views
Nataka nihame chama kutoka CHADEMA Niende CCM Kumuunga mkono Rais
4 Reactions
27 Replies
3K Views
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Ni member waliokuwa active sana hasa kwenye jukwaa la Siasa kutetea vyama vyao, pamoja na utetezi huo kwa vyama walikuwa wakichangamsha jukwaa. Ni muda mrefu sasa member hawa wamepotea, kwa...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Dah.! leo ijumaa nipo hm tu Enzi zangu mida kama hii saa tano usiku natoka zangu nahama viwanja mpaka tu majogoo. [emoji27] [emoji27] kweli tumenyooka awamu hii
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi ni member ambaye sina umaarufu wowote hapa JF.Lakini siku chache zilizopita nimekuwa mpinzani mkubwa wa vitabu vya dini hasahasa Biblia nikidai ni kitabu cha uongo na cha kufikirika. Lakini...
11 Reactions
59 Replies
5K Views
Mi nachukulia kama jambo la siri Eeeh utafanyeje hivyo mtu akusikiee mazee. Hembu tujieshimuni bana ukijisikia toka nje Sii lijitu unalitoa tu mbele za watu tena wakati wa Kula ni ntaacha Kula...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Kwa jinsi walivyo onyesha utalaam wao wa majengo , mamlaka zifikilie kuwapa miundo mbinu mikubwa hasa ile inayo hitaji expansion Joint. Na moja ya miradi hiyo ni daraja LA ubungo ambalo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Naomba utoe coment unieleze ukweli wote nakosea wapi na nijirekebishe wapi Nichane mkuu Nichane makavu live Kama ni ushaur naomba unishaur mimi kama...
2 Reactions
102 Replies
5K Views
Bill Gates, tajiri namba moja duniani, yeye anasoma vitabu 50 kwa mwaka (wastani wa kitabu kimoja kwa wiki). Warren Buffet, Tajiri namba Mbili duniani, anasoma kurasa 600 kwa siku (wastani wa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Tumegombana sana na mzee kuhusu ishu ya kubeti infact hataki kusikia wala nicheze hii kitu,,mm kama mm nachukulia ni mchezo tu ila kwake ipo tofauti ,,changia kipi sahihi anachosema dingi au...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Kuna kipindi fulani kama binadamu unakumbuka maisha fulani ulowahi yapitia yawe mazuri au mabaya ! Binafsi kuna maisha fulan nayamiss, sio kusema sipendezwi na maisha ninayoishi sasa nimeridhika...
13 Reactions
80 Replies
4K Views
Its Friday, its hot talk. Nawakaribisha jukwaani mpate mavituz, mambo ya ukweli kabisa. Leo tunae HOE! Binti anaesifika kwa mrengo wa kulia huyu! Leo tumebadili upepo kidogo. Tumehama kidogo...
5 Reactions
434 Replies
31K Views
Kila mtu ana starehe yake... Mwingine Mademu, mwinge mpira n.k mimi napenda sana yale maji ya mende.. Sasa weekend iliyopita nilikua Jiji Mwanza kikazi ndo nimeondoka leo kutoka hilo jiji la...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Your cell number has won you £850,000 in ongoing 2017 cocacola mobile draw in UK, to claim; send your name, age&number to: cocaukpa@outlook.com...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Hivi kwa muda huu wengi wetu hupenda kubuni tabia za ugeni na kutembea ili kuzuru maeneo mapya. Hivi sehemu gani haswa tanga waeza toka na ukajinafsi na ukala bata? Unlimited responses expected...
0 Reactions
4 Replies
668 Views
Back
Top Bottom