JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kama mnavyojua wana Jf leo nimewaletea aina mbili za Mke Aina zenyewe ni hizo hapo[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] 1:Aina ya kwanza ni mke anayemsikiliza mumewe, anayemtii na kuelewa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa wale wazee wa kuweka mizigo, wazee wa soka , kabumbu a k a football, wanajua vizuri usajili wa wachezaji wa mpira. nakumbuka katika mikutano mara kadhaa nimemsikia kocha msaidiz mmoja akisema...
0 Reactions
4 Replies
859 Views
Umekuwa single tokea mwezi wa kwanza mpaka wa 11 na umetafuta mpenzi hukubahatika kupata, cha ajabu mwezi wa 12 umefika tu gafla umepata mpenzi [emoji38][emoji38]buraza usikubali, shetani anataka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi. Kuna msemo mmoja huwa ni amazing sana kutamka mdomoni mwako. Unakufanya ujisikie god/godes. Lakini unawasha sana masikioni mwa muambiwaji. Unajenga chuki,unaharibu uhusiano,unavuruga...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Na kushukru Mungu Muumba mbingu na nchi kwa kuninyima kipawa cha Siasa. Sasa nakuomba Mora wangu uwanyime na uzao wangu kipawa cha Siasa utujari kazi yoyote ya kutupa ridhiki ila siyo ya Siasa...
0 Reactions
10 Replies
835 Views
*_Mke_:Bby nisaidie simu yako* *nicheze gemu ya nyoka* *_Mme_: chukua* *_Mke_ : (baada ya sekunde mbili)* *Linda ni nani ?* *_Mme_ : Hiyo level sijafika .......*...
5 Reactions
2 Replies
1K Views
Ifuatayo ni miradi mikubwa iliyofanywa na serikali ya awamu ya 5. 1. Ununuzi wa ndege za abiria 2. Ununuzi wa viongozi wa vyama vya upinzani 3. Ukamataji wa wananchi wanaotoa taarifa za...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Sekta ya majengo inatupa raha sana hapa bongo, ametoka 900 itapendeza sasa kaingia Expansion Joints yaani full shangwe!! Je, nani ataibuka kidedea?.......alamsiki!
2 Reactions
14 Replies
2K Views
1 Reactions
1 Replies
968 Views
Habari wakuu, eti ndani ya east Africa hii.. No hospitali gani inayotoa huduma ya operation ya goti (especially knee replacement)..natumaini majibu
0 Reactions
3 Replies
636 Views
Duuuh. Sijui mnyeki yule ndo anayenunua. Please fanyeni hivyo basi. By the way, mtu yeyote atakayefanikisha ununuzi wangu atakula commission 10% kama ada ya agent. Fursa hio wakuu.
3 Reactions
12 Replies
1K Views
GuDume kabananishwa leo kazoea kuwabadili badili mara mbunge ,mara wa ofisini mara sijui nani wa jf mpaka watu wanakuja kulia humu sasa leo kakutana na dawa ya moto,, hii ndio hali aliyonayo...
13 Reactions
76 Replies
5K Views
Hivi huwa mnaona fasheni au?Mi haijawahi kunitokea hii na wala sitegemei,rudini kwenu shamba mnang'ang'ania huko mjini kugombania kodi za majumba ya urithi wakati huku mashamba kibao mi ni mkulima...
1 Reactions
7 Replies
833 Views
Pombe ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na pesa mfukoni, Nitakapopita katika vichochoro na mabonde ya vibaka, sitaogopa maana nitakuwa nimelewa chakari, kwenye mitaro ya maji machafu hunilaza...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Chizi flani mwanamme kaingia msituni akiwa uchi, wanyama wote kumuona tu wakakimbia. Fisi akakutana na simba pia akiwa mbioni akamuuliza, "Hata wewe simba umekimbia?" Simba akamjibu, "Wee...
3 Reactions
13 Replies
5K Views
Mwanadada Demiss, almaarufu kwa Mada zake tata sana!! Hapa Jamii forum, tulishuhudia akionyesha kipaji chake kingine cha uchoraji. Wapo Baadhi ya member aliwachora kwa umaridadi Mkubwa...
4 Reactions
13 Replies
792 Views
Napenda kuwajulisha wanajamvi wote ili kuwajulisha kuwa muda wowote kuanzia sasa nitaitisha Press conference ili kutangaza kujivua uana jamvi wa Jamii Forum,ili kuunga mkono jitihada zinazofanywa...
1 Reactions
4 Replies
866 Views
Back
Top Bottom