JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
*Kwamba mwaka unaisha...ulipanga kupiga hela lakini mpka sasa hamna kitu, piga hata kelele basi*
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Isichukuliwe kama umbea bali ni kutaka tu kufahamu huyu mtu anayeitwa AFANDE CHAMA DOLA ni nani hasa naona huko mitandaoni anavuma sana na Miss Kimambi akiwa kamshikia bango hasa Just out of...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Mbibi mmoja alikuwa anaenda kwnye mcba,kwa bahat mbaya akakoxea nyumb akaingia nyumba ya Maxela alivyofka akaulizia nyumba yenye mcba....wale maxela wakamwambia hum ndo kuna mcba....wale maxela...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Mkimwona Charty popote mpeni taarifa nimemmiss sana.Ni zaidi ya miaka 3 sasa sijasikia sauti yako na uandikaji wako my wife.Njoo rudi nyumbani Charty tulee watoto wetu. Yaliopita si ndwele...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Ushuhuda wako ni upi juu ya gambe na juisi. Gambe tamu,bapa kubwa moja ukakazia na redbul afu uwe na show wanasema huwa ni balaa.
0 Reactions
2 Replies
587 Views
Waliopo himo tuonane jaman walau tutambuane kama wana jf,maana hivi vigrocery vilivyojaaa haviwez mwacha mtu salama!
2 Reactions
9 Replies
739 Views
Kuna moja nilichange usiku , kuamka asubuhi nimeisahau, Hii ni moja ya password zangu </h.b.s.z2[zuu&h]%_mk13njb910hvg731asdf12!?21> Kuanzia herufi ya kwanza hadi ya mwisho ni story kamili...
4 Reactions
71 Replies
6K Views
Hakuna mtu mwenye ndugu wengi kama konda wa daladala. Utasikia, "HAYA, DADA HAPO MBELE, MJOMBA KULE MWISHO. MA-MDOGO UNAENDA?, NGOJA ASHUKE BIBI. HAYA SHEMEJI UMEIKUTA YA KUWAHI. Babu njoo ukae...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasalaam. Suleman alipo pewa na Mungu nafasi ya kuomba chochote yeye aliomba hekima. Je kwa haya maisha ya sasa Mungu akikupa nafasi uombe chochote utaomba nini chenye manufaa...
1 Reactions
9 Replies
802 Views
Huyu Dj hapa Waungwana Pub ananikosha sana mpaka ananifanya nisahau kama kesho siku ya kazi.
7 Reactions
139 Replies
6K Views
SIKU HIZI UKINUNUA VITU HIVI LAZMA UINGIE JIKONI MWENYEWE asali ukwaju unga wa dengu parachichi matango vitunguu maji viazi ndimu limao KWANINI UFANYE HIVYO? [emoji116] wanawake...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Unajua hakuna stories za kusisimua na kuogopesha kama watu waliokufa wakiweza kuamka na kukusimulia the way walivyokufa kuna waliokufa Maji,waliokufa porini na wanyama wakali,waliouwawa na...
0 Reactions
8 Replies
859 Views
habari wapendwa. mimi usingizi umegoma, ambaye hajalala karibuni kwa stori.
19 Reactions
5K Replies
188K Views
wakat naendelea kukata gogo kama unavyoelewa uswahilini tena bonge la folen watu wanapiga kelele unatuchelewesha w ganataka kuwahi kazini wengine wanatukana mm kama siwasikii ndio naziid...
0 Reactions
4 Replies
862 Views
Kichwa cha habari chajieleza . Katika pita pita yangu nmekutana mada zinazoeleza njia za kukuza uume bila madhara, moja ya njia hizo ni pamoja na : - kuufanyisha mazoezi uume kwa kuupaka Jelly...
2 Reactions
10 Replies
6K Views
Utamchukua kutoka kwao kijijini, kumleta mjini hana ndugu wala hamfamu mtu, mbaya zaidi ajui lolote si ajabu....akachukua viatu akaweka ndani ya fridge, na mkeo akawa anamfundisha kupika mapishi...
3 Reactions
99 Replies
6K Views
Back
Top Bottom