Rafiki yangu alikuwa amesinzia tukiwa darasani, nikachukua simu yake nikabadilisha alivyosave namba yangu nikasave "lovely dad" (ndivyo alivyokuwa amesave jina la baba yake mzazi)
Nikamumia SMS...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Siku kama ya leo alipata kuzaliwa mke wangu mtalajiwa aendaye kwa jina la butogwa shija
Butogwa shija alizaliwa...
huyu ni mmoja ya jamaa zangu wa karibu sana humu JF Joseverest ni kitambo sana haonekani na kitu ambacho kimeleta waswas sana kwa sisi rafiki zake. maana Mtaani ( Jamiiforums) haonekani. mi...
1. Hembu fikirini waziri Mwijage katangaza ndani ya miaka 2 vimeongezeka zaidi ya viwanda elfu 3 wakati muda muu ninapoandika uzi huu hakuna umeme karibu nchi nzima, zaidi ya yote hakuna ajira...
Wadau
Katika familia ya JF nimetokea kuvutiwa sana na kazi za JF Expert member Donatila. Anao uwezo mkubwa wa kutafuta taarifa za uhakika, kuzichambua, kuziandaa na kisha kuzitoa kwetu.Aidha...
Amani iwe juu yenu.
Jamii forum Ina viwanja vingi ambavo wataalam walivigawa kwa kujua wazi Kila mtu atakuwa na interest ya kupata info na mambo mbali mbali ya vitu au maswala anayoyapendelea...
Wasalam:
Mm nakumbuk mwaka 2012 kimara stop over nilipokuwa naishi, sasa nakumbuka ilikuwa weekend moja hivi nikatoka kuzurula zangu, sasa kwenye mida ya saa moj hivi nikarud zangu home...
Imekua kama fasheni sasa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, the most ni Facebook.unakuta wadada kwa wadada wanaitana majina yaliozoeleka kwa mwanamke na mwanaume ambao wana mahusiano ya...
Ukimchukua mme au mke wa mtu, hata kama ni kwa siri wewe si binadamu bali ni KIFO. Maana kwenye kiapo walisema atakayeweza kuwatenganisha ni KIFO TU. Sasa unapowatenga ujue kabisa wewe ni KIFO
Jamaa kavamia semina
ya wasomi iliyokua
inafanyika maeneo ya
ubungo plaza basi
wakaanza kujitambulisha
1. Naitwa Anna niko SUA mwaka wa 3 nasoma
agriculture
2. Naitwa Stella niko
UDSM mwaka wa 2...
Wanajamvi naomba kujua inawezekana vip ?kukaa bila kuchepuka .kulingana na utandawazi na vishawishi tunavyopata kutoka kwa dada zetu.me napata wakati mgumu kuvumilia labda nisiwe na mia mfukoni...
Pombe Na Mbunye vilikuwa vinanicost sana.Lakini Toka nimeacha hivyo vitu nashangaa nimeshikwa Na Ulevi mbaya wa Kubet. Kubet kunatafuna hela kinoma.Unaliwa Leo hela unasema kesho sichezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.