Kuna mijadala imekuwa ikiletwa humu JF kuhusiana na wanaume wa Dar.Lakini haijaeleweka Mwanaume wa Dar ni yupi hasa.wengine wanadai ni mwanaume yeyote anayeishi Dar.Wengine wanadai ni yule...
Habarini ndugu zangu nina uvivu mkubwa sana muda unapofika wa kwenda chooni nawaza mara mbili naondokanaje na uvivu huu naweza kukaa siku mbili sijakata gogo Kwa ajili tu ya uvivu ushauri uuhusike...
Nimezaliwa mwezi na tarehe ya leo, miaka mingi kidogo iliopita,niliingia JF mwaka 2012,namshukuru Mungu kwa kuniweka hai mpaka siku hii ya leo,nafurahi kuwa JF na wana JF tukiendelea kupeana...
Kuna hyu msomi anaitwa Patrick lumbumba wa Kenya his he a genus? Maana kuna maneno anayaongea mpaka nashindwa kuaelewa yaan anaongea deep English sjapata kuona nadhan hadi wazungu kuna muda...
MAMBO YA WANASHERIA:
Baada ya kumaliza Degree yake ya Sheria, Bwana Rwegashora aliamua
kurudi nyumbani Bukoba mjini na kufung ua ofisi yake kwa ajili ya huduma kwa wateja.
Siku moja akiwa ndani...
Nikakaa nikawaza nkicheki uku chitchat nyuzi zingine haziishi,ka ile ya kukoment afu unapata likes. ,
Af Beira boy naye anarusha na mwenzie hr666..(af hr yule afisa mikopo walimtumbua af cha ajabu...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Juz palikuwa na tamasha la fiesta pale daresalama baada ta tamasha hilo kuzunguka mikoa karibia yote nchin tanzania
Tamasha hilo lilianzia arusha na...
Wahenga wajanja sana walisema akiii ni nywele kila mtu anazake , huwakutaka kutufumbua zaidi maana mwlili una sehemu tofauti tofauti zenye nywele mfano pale , kule , pale na pale
Sasa wewe kwa...
Kwa hali ilivyo aki twafwaaa!
Baada sasa ya migomo kupungua kama sio kutoweka kabisa hususani kwa wafanyakazi wa serikali sasa naona mimea imetupokea adha hii ya migomo hapa naongelea miembe...
Mpige mtoto wa kitanzania ,kisha mbembeleze kwa kumpa biskuti ,akimaliza mwulize nani kakupiga atamtaja mtu mwingine hivi ndo rushwa ilivyoanza Tanzania
Inakuwa kero na balaa ndani ya nyumba zetu, na amani inakuwa ndogo kati ya mume na mke, muda wowote mnakinukisha, na mashitaka yasioisha ndani ya familia na baraka ndani ya, nyumba hutoweka, na...
Jamaa kamdanganya girlfriend wake kuwa anasomea HOTEL MANAGEMENT. Siku huyo girlfriend akamkuta jamaa anaosha vyombo kwa MAMA NTILIE. Girlfriend
akamuuliza
jamaa
“baby
vipi mbona
uko hapa?”
Jamaa...
Jana nateremka
kwenye BASI
UBUNGO nataka
nichukue TEKSI hadi
KIMARA naambiwa
sh.15,000/=. Wakati ninapotafakari
hiyo bei, nikasikia
"Moro, Moro,Morogoro
sh.6,000/=" Nikaamua nipande
niende zangu...
_*"Uzuri Wa Mwanamke Sio Sura Ni Tabia.. TABIA Ni Kifupisho Cha Maneno "TAko BIdhaa Adimu" .. Na Kweli Wanaume Tunazingatia Hilo Ndo Maana Tukipishana Njiani Na Madem Lazima Tugeuke Kuangalia...
Siku ya leo nilikuwa na mishe kidogo kariakoo hivyo nikabeba mgongoni kibegi changu nakuelekea mitaa ya msimbazi sasa nikiwa katika ile barabara ya msimbazi nikajisemea leo nataka nimkamate mwizi...
Jamaa alipimwa Malaria
ikawa damu haitoki vizuri
kwenye kidole.....
Ikabidi nesi amminye
kidole taratibu ili damu itoke.....
Katika kuminywaminywa
jamaa akaona raha!!
Akamwambia nesi
"MKOJO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.