JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamani hawa wasaidizi wetu wa ndani tunawapenda na tunawajali sana.yale maisha ya wasichana wa ndani kulazwa chini,kunyimwa msosi, kupigwa ,kutothaminiwa kwa kweli siku hizi yamepitwa na...
3 Reactions
69 Replies
5K Views
Habarini wana jamii forum, kama title inavojieleza. Tukumbushane misala tuliyowahi kuifanya home halafu ikawa noma sana tukatamani mpaka ardhi ipasuke. Binafsi nakumbuka misala miwili Wa kwanza...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Kichwa Cha Habari KIMEJITOSHELEZA KULIKOTUKUKA. Kama Unajijua Kuwa Ulisoma SAUT Miaka Hiyo TAJWA Hapo Juu Tafadhali Jitokeze Hapa Kwa ID Yako Ya Humu JF Ili Tutambuane Na Tuweze Kutengeneza...
0 Reactions
68 Replies
8K Views
Habar wana JF Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo kiuweli nilipatwa na matatizo ya kuvamiwa na majambazi siku ya ijumaa. Ilikuwa ni saa 5 usiku tukitokea sehemu Moja inaitwa Itigi kuja...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu Ni juzi niliposikia kiu kubwa sana nami mfukon nilikuwa na sh mianne tu lakin bahat nzur nikaona sh mia iko chin hivyo...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Bwana katika kujibana kwangu katika maisha ya shule nilijibana mpaka shilingi 500,000 tu. sasa hio pesa nilijibana ninunue simu, nikanunua hio simu sasa kumbe hio simu imefungiwa netwek apa tz...
1 Reactions
67 Replies
4K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Ilikuwa ni mwaka juz pale nilipo amua kutoka jimbo la caboligado na kuelekea beira mwisho wa siku niweze...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Kwa jinsi hali na mazingira ya shule pamoja na masomo ninayosoma nimeona bora niache masomo Ili kulinda heshima yangu juu ya shule hii na maisha yangu kwa ujumla nimeona bora nifanye hivyo,pia...
10 Reactions
13 Replies
2K Views
Kesho saa 4 asubuhi nitakutana na waandishi wa habari ili kuwaeleza nia yangu ya kuhama UDSM na kuelekea Chuo cha VETA chang'ombe. Nimefanya uamuzi huu kuunga mkono juhudi za VETA, kuelekea uchumi...
3 Reactions
6 Replies
779 Views
Nilipijuwa mdogo kupanda maua ilikuwa hobby yangu. Wakati ule ni kuona maua hata yawe Chang'ombe au Keko nitafuatilia nipate mbegu. Nilikuwa na collection ya maua ridi Meupe, pink na mekundu...
3 Reactions
32 Replies
12K Views
Vyuma vimekazwa na KUFURI Halafu mkakosa SURUHU kuvipata imekua MAJAALIWA Hakika MNAKONDA kiwanja katapeli MVUVI kwenye uwanja wa mpira wamemwaga MAEMBE Nasubiri ajira tangu ndege HAIRUKI Bei ya...
0 Reactions
2 Replies
531 Views
Mimi Abdul Nondo,nina tangaza rasmi bila kulazimishwa namtu yeyote. kuhama nyumbani na nimeamua kuhamia kwa jirani yetu baba Juma ,sababu maendeleo anayoyapata ndio yale ambayo tumekuwa...
2 Reactions
4 Replies
802 Views
Hi Marafiki, Najua mpo bize na Escrow ila naomba muungane na mimi japo dakika chache kuadhimisha siku yangu ya kuzaliwa. Namshukuru Mungu aliyenipa uhai hadi kufikia tarehe ya leo ambapo nnatimiza...
12 Reactions
364 Replies
17K Views
Jana mimi na my partners in crime tumekubaliana kimsingi kuwa hii kauli ya vyuma vimekaza ni overrated na kujifariji kwa watu tu! Baada ya kuangalia Man Utd akimshughulikia kibonde wake wa kila...
7 Reactions
72 Replies
4K Views
Neno TABIA Ni Kifupisho Cha Maneno Tako Bidhaa Adimu.... Uzuri wa mwanamke sio sura ni tabia Na Kweli Wanaume Tunazingatia Hilo Ndo Maana Tukipishana na wanawake Njiani Ni Lazima Tugeuke...
13 Reactions
34 Replies
3K Views
Siku kama yaleo miaka mingi kidogo iliyopita wazazi,ndugu pamoja na jamaa zako walikua na furaha kukupokea kiumbe wewe na kukukaribisha kwa shamrashamra zote katika sayari hii dunia... Umekua ni...
6 Reactions
82 Replies
4K Views
Nimepita hapa siamini macho yangu Kwa bomoa hii hakuna cha kuokoa
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Waheshimiwa mabalozi wa maji yaletayo raha na burudani mwilini, naomba niwaulize swali, je ni kwanini pombe za kunywea nyumbani hazinogi hata lkama kuna marafiki, kitimoto na matusi juu?
4 Reactions
75 Replies
5K Views
Back
Top Bottom