JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tukio la kwanza ni mzee mzima Ontario kuja kwa Mbwembwe na baadae kujikuta akiishia kwenye shimo la Tewa baada ya KUPEWA ZA USO NA MEMBERS! Tukio la pili ni Bwana mkubwa Bujibuji kuja na ID ya...
55 Reactions
447 Replies
34K Views
Kuna kitu kinaendelea idodomia. Ni wiki ya azaki inayoandaliwa na FCS. Mashirika yasiyo ya kiserikali ya kitaifa na kimataifa yanakutana kwenye hii event. Kama mpaka hapo hujaelewa basi jua Uzi...
1 Reactions
4 Replies
665 Views
Aiseee🤣🤣😂
3 Reactions
4 Replies
276 Views
Kipindi najiunga JF nilianza na cheo cha member, hata mwisho wa mwezi haujafika tayari wamenipromote kuwa Senior Member. Je ifikapo mwisho wa mwezi ntapata mshahara wa cheo cha awali au cheo...
12 Reactions
29 Replies
1K Views
Wakuu, namtafuta Babu yangu. Yoyote atakayemuona atoe taarifa kituo cha Polisi cha karibu. Zawadi nono itatolewa kwa atakayefanikisha kupatikana kwa Babu yangu.
7 Reactions
21 Replies
658 Views
Nimepita bar moja huku mtaani kwetu na nikaziona bia bingwa. Nimekumbuka kipindi zinaingia namna zilivyowaumiza watu. Mdogo wangu alizimia siku 2 baada ya kuzifakamia za bure kwenye sherehe. Sijui...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Humu wapo members Wana likes 1000 ambazo kiuhalisia zingekuwa pesa zingeweza kununulia vocha ya buku. Wengine wana likes mpaka milioni 1 huko ambazo zingeweza kununulia smartphone kali. Mimi...
5 Reactions
25 Replies
447 Views
Kwanini Wanaonunuliwa Vyakula au Vinywaji Mahotelini na Mighahawani ndiyo huwa Waongeaji wa Kupitiliza kuliko wale ambao ndiyo Wamewanunulia? Kwani wameambiwa kuwa wakinyamaza na Kula au Kunywa...
2 Reactions
4 Replies
253 Views
Kwanini kabla ya kufanya maamuzi ya jambo fulani najikuta tu nakosa amani?
2 Reactions
4 Replies
373 Views
Kaka yangu Tate Mkuu, shida ni nini? Dada zako ni mnyoosho wa suruali kwa kwenda mbele. Sijawahi kuona mrembo wa kisambaa mwenye wowowo. Ni flat screen ileile. Nimemuacha mmoja mwaka mmoja nyuma...
9 Reactions
72 Replies
4K Views
Siasa Ndo Taaluma Pekee Ambayo Hata Ukiwa Mwizi, Ukiwa Muongo Bado Utaitwa Muheshimiwa, Unaendelea Kuheshimika.
1 Reactions
2 Replies
208 Views
Sio tu kuwa kila mtu anapenda kusifiwa bali kila mtu anapenda kujisifu. Hatuoni wazee wetu wakijisifu kuwa walikuwa na akili sana darasani wakati wanasoma. Kiongozi anaposimama jukwaani katu...
4 Reactions
16 Replies
317 Views
Wadau hamjamboni nyote? Naandika na kuuliza haya siyo nakashfu ila ndiyo ukweli unaonishangaza sana Ni nadra sana kuona mtu mzima au mtoto maeneo ya Masaki, Oysterbay au Mikocheni akiingiza...
3 Reactions
3 Replies
206 Views
Kwa mfano kunywa maji ya baridi kwenye glass ina letaga stimu fulani hata maji yanateremka gently na smoothly zaidi ya kunywea Chupa.
5 Reactions
20 Replies
421 Views
Watatu walikamatwa na wachuna ngozi. Wakaambiwa kuwa watauliwa kisha watachunwa ngozi na ngozi zitaenda kuuzwa Nigeria. Wale wachuna ngozi wakawaambia kila mmoja anapewa nafasi ya kuomba jambo...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
24 Reactions
2K Replies
28K Views
Mapenzi yangu ya muda mrefu zaidi yalidumu mwaka 1 tu.
0 Reactions
5 Replies
259 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…