JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
BREAKING NEWS : Linda Thomas yule dada anayesemaga "Salio lako halitoshi kupiga simu hii." amefariki dunia. Kupiga simu kwa sasa ni bure, piga haraharaka kabla hawajarudi msibani, watazuia
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Dunia imebadilika. Watu wanaingiza pesa ndefu kupitia vipaji vyao. Ukitegemea degree tu bila kuwa na kipaji hutoboi.
1 Reactions
1 Replies
261 Views
Wakuu salama? Nimeona tukumbushane mambo na vituko vya mboka na story kibao za mkoa ule! Na mitaa, matunda ya porini km Magongoti, vijana Wa mboka, Mwanaisungu etc. Wakuu Mwenye story ya...
4 Reactions
523 Replies
65K Views
1 Reactions
11 Replies
405 Views
Kampuni ya Vodacom,imekuwa na usumbufu mkubwa sana. Ukitaka kuongea nahuduma kwa wateja inakuwa ngumu,wanakuunganisha na online zao ambazo huwezi kumpata mhudumu wao. Mwenye namba zao za Moja...
5 Reactions
18 Replies
835 Views
1. Nitahesabu idadi ya Moderators wote wataokuwepo Ofisini Siku nitakayoenda Kuchukua Zawadi yangu na Wote watakunywa Soda Mpya, Tamu na niipendayo ya Super Commando kutoka Kampuni ya Pepsi. 2...
15 Reactions
39 Replies
1K Views
Taja vitu muhimu vya kuanzia maisha ya Getto pamoja na makadirio ya gharama zake.
4 Reactions
47 Replies
3K Views
Mwenye simu kubwa ya macho matatu halafu hana kazi inayoeleweka. Acha ujinga vaa kondomu. Mwenye kuchanganya lugha anavyoongea mara anapiga kiswahili anaingizia na kiingereza humohumo. Tumia...
13 Reactions
43 Replies
1K Views
Habari za muda huu waungwana, wanachama na wapenzi wa Jamiiforum, Ikiwa leo ni zaidi ya miaka 15 tangu kuanzishwa kwa Jamiiforums, mtandao huu umekuwa kwa kasi sana miongoni mwa Watanzania na...
6 Reactions
59 Replies
2K Views
Huna kazi, huna biashara, huna urithi, huna pesa, hujasoma UDSM, huna ujuzi wowote, huna mzazi tajiri, huna kipaji halafu unamuomba Mungu akupe maisha marefu, sasa utakula nini?
2 Reactions
26 Replies
582 Views
Karibu 👇
0 Reactions
14 Replies
307 Views
Ndio, ni kuta. Hizi hizi zilizozuia wapita njia wasikuone ukiwa ndani kwako. Zingesema zimeona nini uko kwenu?
0 Reactions
8 Replies
257 Views
1 Reactions
7 Replies
200 Views
Eti, ni jina gani ulisikia kwa mara ya kwanza na hukutegemea kuwa ni la mtu? Tiririka...
4 Reactions
47 Replies
1K Views
Habarini za wakati huu members na msiokuwa members humu Jamii forums. Wote nawasalimu kwa jina la Allah na Mungu mmoja. Za muda huu. Kama ambavyo tumejiandaa katika kuelekea kufanya party yetu...
18 Reactions
113 Replies
8K Views
Kuna mshikaji mmoja alikuwa kinyozi. Saluni yake ilikuwa katika ghorofa ya tatu. Kadiri siku zilivyokuwa zinakwenda wateja wakaanza kupungua na ikafika kipindi hakuna hata mtu anayekwenda kunyoa...
0 Reactions
8 Replies
18K Views
Kwakweli sijapenda kwanza wanafikilia Nini 🤨 hivi mtu hawezi kumpeleka kitanda chake kurekebishwa, Eeh si ni kama tu TV, SIJAPENDA 😁
3 Reactions
9 Replies
248 Views
Shuwaiin....
2 Reactions
1 Replies
162 Views
Habari mdau mwenzangu wa JF, natumai uko poa. Ningependa kujua unaingia huku kupitia app ya jamiiforums au website yao ya
5 Reactions
19 Replies
531 Views
Eleweni neno " nipokeeni". Niliandika uzi majuzi nikuuliza niende Newala au Songea? Lengo langu ni kwenda kufanya utalii wa ndani. Lengo la kwenda Newala ni kujifunza kwa vitendo kuhusu "...
1 Reactions
20 Replies
887 Views
Back
Top Bottom