Uongozi wa JF,
Tunaomba kabla ya Sept 30, 2024 tuwe na JF party sehemu tu ya kawaida tupeane mawaidha.
Kwa wale madada tutafurahi kuwaona badala ya kutiana moyo inbox.
Ahsante, nawasilisha.
Uongo wangu kwa siku ya Leo
1. Mimi ndio nimemtuma Mzee wa Magoma wa Yanga aende mahakamani ili tumuondoe Eng Hersi, alafu baadaye nichukue timu.
2. Vijana wa Gen Z Kenya nawalipa ili...
Shindano liwe la wazi na lifanyike kwenye uwanja wa wazi, kina Mwamposa, Kuhani Musa, na walokole wengine konki, wakashindane na wachawi konki kama Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume na wengine...
Tunda hataki mazoea kabisa na vijitu vya ajabu ajabu, na amedhihirisha hilo kwa kumtamkia maneno makali kwa aliyekuwa mpenzi wake Casto Dickson kwamba akome kumfuatilia na ajue kuachwa sio kila...
Nakumbuka nikiwa nakua kila nikiosha vyombo bibi alikuwa anasisitiza nianze na vikombe na glass za maji ili visiwe na harufu ya mafuta au michuzi. Ila sasa hivi naweza anza hata na sufuria...
Kitanda
Fridge
Gas cooker/ jiko la mkaa/ stove
Subwoofer
TV pana kiasi
Leseni ya kuendesha gari
Kabati la nguo na viatu
Feni
Sofa
Mchongo wowote wa kukupa kipato halali
Then baada ya hayo...
Habari za muda huu ndugu zangu,
Nipo safarini kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha na basi la BM T817 DY. Safari inaonekana kuwa ya kawaida sana, maana hapa nimekaa na bibi mtu mzima ambaye amelala...
We all have at one point worn second hand clothes. These second hand clothes are normally so cheap that we buy them in bulk. Most of us never care to read or understand what is written on these...
We can know who's man and who's gentleman through defference aspects
A man tries to make his mark, a gentleman strives to leaves a mark, a man accepts a favor, a gentleman returns the favour, a...
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kusema namba ambayo amekuwa akiitafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenye shida kwa kumtumia namba hio hapa.
Mimi kama...
Maisha Yana story ndefu,
Nilipenda kusoma science, sema nilikutana na matopic magumu sikuchelewa kukimbia.
Kwanza namlaumu huyo aliyetunga topic ya maths ya LOGARITHMS 😅 Aisee hili jiwe me...
Ukimtizama bodaboda, ni kosa atakurukia na kukuuliza kwa lazima kama waenda,
Ukimtizama muuza duka kosa
Ukimtizama konda kosa...
Ukimtizama mpiga debe kosa kubwa sana....
Ukimtizama tu au kutizama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.