JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Signed out forever
29 Reactions
184 Replies
2K Views
Jamani habarini. Niko Dodoma ambae anafahamu sehemu nzuri amabayo ina mziki na naweza angalia mpira naomba maelekezo tafadhali Niko Dom muda huu.
2 Reactions
54 Replies
10K Views
Nmejiuliza sanaa Maswali Mengi kuhusu Hospitali ya ugonjwa wa akili kwann waliamua kuijenga Dodoma. Wakuu Naombeni Maelezo juu ya hili jambo,Twende kazi sasa.
2 Reactions
48 Replies
1K Views
Hii bard Arusha n hatar utaweza jukuta unamaliza k vant kubwa mbili na usilewe
1 Reactions
7 Replies
282 Views
Wakuu muwe na siku njema yenye mafanikio. Mungu awafungulie Milango ya Baraka. Chochote mtakachokifanya kikafanikiwe zaidi.
8 Reactions
10 Replies
217 Views
Ni aibu ambayo ni ngumu kuikana na utajihisi guilty Miaka ya nyuma kuna kipindi niliwahi kuishi kwa mjomba nikiwa nasoma form 5, Nilianza tabia sugu ya kujichua huku naangalia video za x, kwangu...
4 Reactions
16 Replies
587 Views
Shalom, Naomba Mwenye ile clip ya kanumba: kamshahara kangu ni kadogo mno siwezi kumhudumia mpenzi wangu anitumie
1 Reactions
2 Replies
222 Views
Mimi kazi yangu ni kukuonya kijana uache tabia za uzinzi na ulevi. Leo nakazia tena hasa kwenye uzinzi. Kijana acha uzinzi. Acha uzinzi
9 Reactions
48 Replies
2K Views
“ISHI” na watu vizuri matatizo yana tabia ya kukupeleka kwa watu uliowakosea!! ✍🏾 #HappyThursday 🙌🏾
4 Reactions
10 Replies
320 Views
Tanzania imeitaarifu Zambia kwamba hawako tayari kumpokea balozi wao mpya kutokana na majina yake kubeba tafsiri isiyokubalika katika jamii ya Watanzania. Balozi huyo mpya anaitwa Mr Musenge Mukuma.
8 Reactions
30 Replies
23K Views
Hii tabia kuna mtu ameshakutana nayo? Unaenda dukani kununua maji makubwa unapewa ila ukifika nyumbani wakati wa kufungua unagundua hakuna seal 1. Nikiwa Mgahawa fulani nje ya mji niliagiza maji...
2 Reactions
7 Replies
429 Views
Anyway ni kukumbushana hasa wakati hu wa weekend tusiamini sana hotel ama baar zetu jamani usile ukashiba ukakimbilia kufungua mlango mara umemaliza shuguli kuangalia maji hakuna toilrt paper...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wakubwa, Nimesikiliza Tangazo la Konyagi wanasema inatakiwa ilale na isisimame je Pombe kali kama Konyagi/Kvant kwanini wengi wanapenda kuilaza sababu nikinywa ulevi ni ule ule tu...
1 Reactions
5 Replies
433 Views
Shikamoooni wakubwa, wadogo marahabaa.. Katika maisha kuna vitu vingi mwanadamu hupitia vingine vinakuumiza, ila mwisho wa siku unapata la kujifunza. Ule usemi wa mjini Shule nikadhani kuna...
10 Reactions
38 Replies
4K Views
Nimefukuzwa kazi usiku nikiwa ukumbIni na konyagi yangu alafu gari la ofisi wamelichukua bila kuambiwa hata kunibeep ila sikuwa na bando sababu mimi ndio mpandishaji wa vifurushi. Kilichoniuma...
3 Reactions
8 Replies
325 Views
Ametoweka nyumbani toka mwezi wa pili tumetoa taarifa polisi ya hapa Los Angeles atakaemuona atoe taarifa kwenye mamlaka husika. Asanteni.
7 Reactions
56 Replies
2K Views
Ina maanisha nini watu kusalimia kwa kupishanisha mikono juu na chini?
0 Reactions
8 Replies
343 Views
Hata sijui nisemeje mnielewe.
19 Reactions
384 Replies
8K Views
Back
Top Bottom