Ndugu zangu poleni na shughuli za ujenzi wa taifa, nimeona nijaribu Ku discuss na nyie kuhusu yanayompata snura,
Kiukweli naamini kabisa kuwa matendo yako yanaweza kuwa chanzo cha matatizo yako...
Kuna Vidonge Viwili
Cha Blu na Chekundu
Ukichagua Kidonge Chekundu: Unarudi kuwa Mtoto wa Miaka 6 pamoja na Ujuzi Wote ulionao kwa sasa
Ukichagua Kidonge cha Bluu unapatiwa Tsh. Bilioni 1...
Habarini wakuu,
Huku Michezo ya Olympics Ikiendelea Jiji Paris- Ufaransa. Michezo mingi ya kizungu lakini sisi tunaona ya ajabu ajabu.
Ila na sisi wangetuekea michezo yetu ile ya rede na...
Mwezi wa kwanza: Sasa ndugu yangu unajua kwanini nimekwita tukutane hapa?
Nepi: Hapana ndugu yangu, hebu niambie..
Mwezi wa kwanza: Mimi nina nia ya kupambana na yule mama katika kinyang'anyiro...
Mwaka 2002 nikiwa kijana mdogo wa sekondari nilifanya jambo la kipuuzi sana na ilikuwa dhambi. Nakumbuka ilikuwa ni kipindi cha likizo ya mwezi wa 6. Kwa miaka yote 6 ya sekondari sikuwahi kusoma...
Hi chit chat
Kila binadamu naamini kipo kitu anachoenjoy kufanya
Binafsi napenda sana sana sanaaaa mziki ....hiyo ndiyo starehe yangu kubwa na huwa naenjoy sanaa
Wewe je?
Kwa haraka haraka niwakumbushe mawili tu
1. Kuna jela - Maamuzi na matumizi sahihi ni muhimu sana
2.Tu enjoy kidogo hasa tukijifariji " why should we die with health liver and lungs ?"
Ni...
Aaaah! Wakinga Mbwana Kila siku kujimbwamba fai. Kua sijui mnamaghorofa kko sijui mna mambembele cargo. Lakini hayo yote ni sifa za kijinga kama kampuni Bora ya mabus itwayo ABC Ina wapeleka kwenu...
Wakuu kama ilivyokuwa kichwa Cha ujumbe hapo juu. Niko under pressure ninatakiwa nifanye presentation kesho mchana na ninajiona kwa kila namna sijakamilisha some infos.
Please msaada wenu...
Ndugu zangu ambao ni majob-less habari na amani iwe juu yenu!
Karibuni katika ukurasa wetu tupige story na kupeana moyo kwa kipindi hiki kigumu tunachopitia.. Vilevile kama kuna michongo, ideas...
Leo Nakuwa MNYENYEKEVU KULITOKUKA Kwenu Nyote Kwani Hivi Ninavyoandika Huu Uzi Nimejifungia Toilet Ili Huyu Mke Wa Mtu Na Hawara Yangu Asijue Kuwa Nawasiliana Na Nanyi. Kwanza Kabisa Napenda...
Rejea mada tajwa
Uzi huu ni kwa ajili ya VISA/ MIKASA ya kushangasa na pengne mtu akaja na jawabu la mkasa wako unamaanisha nini au tafsiri ya mkasa ulionao.
Mimi nimehama mkoa wa ziwa na...
Weekend tunapumzisha vichwa na vodka kubwa Kidogo
We weekend imekukuta wapi ?
Missing rhumba kipindi Niko na Marehemu Akukweti, na Magufuli! Japo nilikuwa mdogo kwao! Masilingi upo Powa?
Britanicca
Jamani niko mkoani Kagera kikazi, nimetahadharishwa nisiende kijiji cha Buzi, wanakula nyama za watu, nasikia hata wamachinga hawaendi huko kufanya biashara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.