Ukiwa unahitaji Faraja huwa unakimbilia wapi?
Wengine Wanakimbilia kwa Mama zao au Baba zao.
Wengine kwa wake zao na waume zao.
Wengine wakichart Jamii forum wanapata faraja na kujifunza mengi...
Kwa mara ya kwanza napost ndani ya jukwaa hili,,wenyeji hope mko poa kabisa
Sifa ya wanaume ni misimamo,kama mwanaume hana msimamo basi kuna shida pahala,mwanaume akisema jambo linatakiwa liwe...
Habari za muda huu wanaforums.
Ni matumaini yangu nyote ni wazima wa afya. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye lengo kama heading inavyojieleza.
Siku moja hivi nilikuwa bored sana na...
Nimeumia sana, kama mwanaume mwenye heshima zangu na kijana smart, kuonekana makalio yangu na mpenzi wangu.
Ni week sasa nakula mlo mmoja tu kwa siku tena kwa shida sana, napo ni baada ya...
Mara ya kwanza nimeenda out na rafik yangu tukaagiza chakula sasa kika kimechelewa na kikaja cha baridi. Rafiki yangu akamuita yule muhudumu akaanza kumfokea hadi watu wa meza nyingine wakaanza...
Yaani asikwambie mtu machungwa ya tanga ni matamu sana hasa upate yenye maji mengi na kiharufu Cha asili mengi, nnakwambia utaloesha hadi ndevu, afu upate yenye kiharufu Cha asili.
Ni kutafuna na...
1. Karibu bongo ambapo watu wapo bize na habari za maisha ya wasanii kuliko kufuatilia afya yake.🤗
2. Karibu bongo ambapo harusini lazima lipikwe pilau.🙄
3. Karibu bongo ambapo mtu ana funguo ya...
Hivi Siku mara paaaaap kwa bahati mbaya Sura zetu zote zikaonekana kwa dakika kama tano ( 5 ) katika Simu na Laptops zetu ambazo tunazitumia Kuchati au Kuandika mambo yetu mbalimbali hapa halafu...
Wajameni, hebu tufanye tuko ndani na tunaishi ndani ya nyumba moja ambapo vihoja, vituko na vibwanga havikosekani!
Vingine vinafurahisha na vingine vinakera!
Haya mimi naanza…..
“Nani kala kiporo...
Usiku ni mrefu ila ukilala na kuota ndoto za ajabu ajabu huufanya uwe mrefu zaidi. Kuna baadhi ya ndoto nikiota ni ngumu sana kuzikumbuka na hizi ndio hunipa hofu hasa nikiota ndoto mbaya.
Huwa...
Wakenya wameanzisha tabia yakusema Diamond nimsanii wetu basi Warwanda, Uganda, Burundi na nchi kibao wanashindana kusema Diamond nimsanii wetu replay zaidi ya elfu 12 ni Diamond is our artist...
General Knowledge.
Naam, kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Natumia fursa hii ya mtandao adhyim wa JF kuwapa fursa wanamtandao wote wapate fursa ya kuuliza kuhusu mada au jambo lolote ambalo...
Wadau msaada tukutane wapi ambapo Wanaume 4 tunaweza kupata chakula Iringa mjini tukipita saa 7 Leo chakula ambacho sio cha kusubiri, fresh na matunda juisi , nyama , supu Samaki na kuku
Salamu Azuma, umejaa tiba,
Uponyaji u nawe.
Umebarikiwa kuliko dawa zote,
na mgunduzi, wa formula yako, amebarikiwa.
Azuma antibiotiki, Mtibu wa magonjwa,
utuponye sisi wagonjwa
sasa na saa ya...
Asanteni sana kwa wale walionuwa wanapita pita kwenye post zangu na kuchukua uongo na ukweli,post zangu zimefika views laki moja ni jambo la kushukuru.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.