Habarini wapendwa.
Leo nimekaa nikawa nimepitia. Insta nikaona x kapost picha yake nikakumbuka neno mmoja mabalo nalikumbukka mpka leo liliniuma sana.
Alinisumbua sana ikafika mahali nilipewa...
Wazee weekend inaingia, kuna mitoko na familia, nauliza bei ya misosi ya Serena hotel ikoje?
Mwanaume nataka kubadili upepo kidogo Mke na watoto wangu wasizoee sehemu za kawaida ,
Wadau eti ilo draft lina option ngap za kula kwa kutumia iyo king ya blue Je nilazima kula kete zote izo tatu au Kuna option nyingine ya kula kete izo mbili
Anasema kuwa anajuta kuchora Tattoo kwenye mwili wake lakini cha kushangaza ni hataki kuzifuta hizo Tattoos.
Wengine sasaivi wamegeukia upande wa dini lakini bado wanazo hizo Tattoos na hawataki...
Kwema wakuu ?
Ninasikia Madilu system aliwahi kufika Dar miaka hiyo. Kwenye wimbo wake unaitwa Djaffar amemtaja mtu mmoja anaitwa Anielo (sina hakika na spelling) kwamba mtu huyu ni mkazi wa Dar...
Tukio linaloendelea sasa ivi hapa tanga mjini maeneo barabara ya 12,katika hali isiyo yakawaida dada mmoja aitwae Nusurat Khamis mweny umri wa miaka 22 amekutwa na vichwa viwili kweny mkoba wake...
Wanafamilia nimerudi tena dada na mdogo wenu kutoka Kanda pendwa ya ziwa mkoa wenye wasomi wa kutosha
Nashukuru waliokuja pm kuniulizia kama nipo hai,nawathibitishia kuwa bado nipo hai na ni...
Hellow
Leo nimefika shop kununua pipi kifua kifua kidogo kinanisumbua so nikasema ngoja nipate pipi kifua, nikatoa jero ili nipate kumi naambia moja 100 sio 50 duh nikauliza kwanzia lini wakasema...
Hadithi ya kuvutia sana
Soma mpaka mwisho...utajifunza kutunza siri.
Siku moja Mwanaume mmoja mtanashati sana aliingia hotelini na akaomba kumuona bosi. Bosi alipokuja, hadithi ikaanza.
Mteja...
Za jioni wakuuu....................................
Anyway weekend iko poa?
Nimekaa hapa nikakumbuka siku ya kwanza nilipoingia barbershop ebwanaaa eeeh ilikuwaa hiviii 👇👇
Niliona saloon...
Amin usiamin hapa JF kuna majukwaa (Forums) nyingi sana, kuanzia Jukwaa la siasa, Hoja mchanganyiko, Jukwaa la mambo ya kimataifa etc. Licha ya kuwa member wa JF kwa miaka mingi lakini kuna...
Hadithi ya kuvutia sana. Soma mpaka mwisho, utajifunza kutunza siri.
Siku moja Mwanaume mmoja mtanashati sana aliingia hotelini na akaomba kumuona bosi. Bosi alipokuja, hadithi ikaanza.
Mteja...
Nimelishuhidia zaidi ya mara moja katika sehemu tofauti!
Kipande kimoja cha sabuni kinatumika kwa matumizi zaidi ya moja:
1. Kuoshea vyombo vya kupikia
2. Kuoshea vyombo vya chakula
3. Kuoshea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.