JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ndio maana inaitwa simu ya mkononi kile ni kifaa cha matumizi yake binafsi sio matumizi ya familia. Na unapekua simu ya mmeo ili ugundue nini? Ili iweje? Wanawake wengine bana! Umbea tu na wivu...
6 Reactions
47 Replies
2K Views
Wakati rais Samia akifungua reli ya SGR alisema utaratibu unaandaliwa kwa wawekazaji binafsi kuwekeza katika reli hii. Wakati wakina Bakhresa wakijiandaa kuchangamkia fursa hii. Ni wakati sahihi...
6 Reactions
16 Replies
355 Views
Yani mnachukulia usingizi ni kitu serious sana mpaka mnakuwa na nguo za kulalia, Yani mtu anakuwaje na nguo za kulalia? Mimi najua unajitupa tu kitandani unalala Ivo Ivo. Nguo zakulalia tena?
31 Reactions
117 Replies
2K Views
Sasa jamani ndio kila kitu tubeti jamani?😆
6 Reactions
19 Replies
771 Views
Eti, Mwanaume kamili anatakiwa kuwa na Sifa zipi ? Changia maoni kwa utulivu wa akili
0 Reactions
8 Replies
262 Views
Napenda sana kufuatilia hadithi za ujasusi na Intelijensia ni Msimuliaji gani aliye bora katika eneo hili? Na katika digital platforms anapatikana kwa jina lipi?
0 Reactions
4 Replies
340 Views
Haha itikia sasa...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Nimeamua kutoa mapema tu Taarifa hii ili ID yangu isipoonekana kuanzia Saa 3 Kamili ya Usiku wa Leo msinishangae.
7 Reactions
15 Replies
461 Views
Bila hofu yoyote mtakua fresh nyote ambaye hayuko poa pole yake tuambie ni mkoa gani ambao una ongoza kuwa na watoto wakali a.k.a wazuri (warembo)? Hapa Tanzania Karibuni sana
2 Reactions
205 Replies
46K Views
Nimeyakumbuka maneno ya Mbwiga wa Mbwiguke nipo zangu mochwari nacheza na maiti. ama kweli ukiona madaftari mazito subiria kubeba mfuko wa simenti.
4 Reactions
12 Replies
346 Views
Sijafikaaa hata lugalo Nkakumbuka tushike sana neno la Mungu Nakunja kona ya Kawe nkakumbuka math 2.4 Waovu watakimbia bila kukimbizwaa Nimerudi zangu najimwagia maji ya upako Asbh njema wapendwa
12 Reactions
29 Replies
2K Views
Rosti shata shata.. Rosti mboga mboga au kavu.. Embu tupe ujuzi wako mdau..Vipi kuhusu viungo.. Unapenda iwekewe viungo au unataka ule ikiwa na ladha yake tukufu?
11 Reactions
356 Replies
51K Views
  • Poll Poll
Kwema Wakuu! Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humu wengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu...
16 Reactions
837 Replies
22K Views
LEO NIMEZALIWA
3 Reactions
37 Replies
473 Views
Mko vyema wakuu? Kama kichwa kinavyosema. Weka kichekedho unachodhani hatujawahi kusikia watu tufe mbavu. Mi sina kipya, nasubiri kutoka kwenu🤣🤣🤣
1 Reactions
7 Replies
305 Views
Unatamani kufa ukiwa Mzee hujiwezi kwa lolote, au unatamani kufa ukiwa na nguvu zako?
3 Reactions
19 Replies
365 Views
📸
42 Reactions
397 Replies
11K Views
Kumbe Treni ya Moshi - Arusha ya Komredi Polepole bado ipo Mungu wa mbinguni awabariki sana Wachagga 😀😀 Mlale Unono
2 Reactions
3 Replies
387 Views
Yaani ukiambiwa hivyo badala ya kujibu unaanza kupata wasiwasi. Sijui tatizo nini? Baby nakupenda! Baby mwenyewe 👇🏽
26 Reactions
312 Replies
6K Views
Taja!!!!!! Note: Acha kuigiliza wenzako tafadhali
4 Reactions
110 Replies
3K Views
Back
Top Bottom